Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,503
- 11,343
Mmmm kujitolea bureSi bora huyo hata analipwa kidogo, wanaojitolea je??? Ambao wamejaa ofisi zote??
mmmmUmeona walimu tu?Wahasibu,wagavi sijui Nani kote huko wanalipwa pesa hizo hizo wkt wanajitafuta.
Utakuwa una miaka 23 hapa duniani!Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.
Uzi tayari
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Mkuu usiombee huku nje maisha ni magumu kupita maelezo, nimemkuta mstaafu mmoja alikuwa Afisa kwenye idara fulani ya serikali hivi sasa ni fundi baiskeli, kila biashara aliyojaribu kufanya iligomaAlimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
Hii tumeipata kwasababu kuna genge halitaki kuumiza vichwa linagawa resouces za nchi kwa kisingizio cha uwekezaji toka njeBongo tuna laana kwa kweli.
Ng'ombeAnzisha shule yako uwalipe hayo mamilion unayotaka
DuuMkuu usiombee huku nje maisha ni magumu kupita maelezo, nimemkuta mstaafu mmoja alikuwa Afisa kwenye idara fulani ya serikali hivi sasa ni fundi baiskeli, kila biashara aliyojaribu kufanya iligoma
Samahani mleta mada. Mshahara mkubwa unaotaka alipwe ni upi?Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Aithaminije Sasa, akatae ilihali hana chochote, aithamini kwa kukaa nyumbani akiisubiri serikali?? Ungesema aithaminije hiyo digriiYaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu kwa wazo zuri la kumuajiri mtoto wa jirani na kuamua kumpatia mshahara wa 700,000/- badala ya 250,000/- aliyokuwa akipewa shule ya private. Na huu ndio ujirani tuutakao.Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kabla cjajaajiliwa nilikua nalipwa 100000(deproma) sikua peke yangu. Iyo ni mwaka juzi 2021.Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.
Alimaliza 2021, chakushangaza katafuta kazi private, mshahara ni 250,000. Jamani walimu, yaani umeteseka kwa miaka mingi kusoma degree uje ulipwe mshahara mdogo kama huo.
vijana ebu thamini elimu zenu, na shule binafsi wathamini walimu, haiwezekani degree umlipe hela ya nyanya kama hii.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Wakati unamshangaa huyo mtoto wa jirani yako kuajiriwa kwa ujira wa laki 2 na nusu pekee, ulitakiwa pia utuambie wewe mwenzetu unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato! Na kwa mwezi unapata shilingi ngapi.Yaani nimeshangaaa sana, kuna jirani yangu ana mtoto kasomea ualimu wa Chemia na Biologia, SUA.