1: Nyuki huumaa baada yakuchokozwa na si kabla ya hapoPaul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.

LUGHA: Mtu kuwa maarufu sio lazima iwe kwa mema yake, ANAWEZA kuwa maarufu kwamaovu yake. Mfano huyo tapeli maarufuVijana wa Lumumba mnapata tabu kichz kumsafisha bashite
Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
Jibu rahisi, alitumia madawa kunyanyasa watu hata wasiohusika. Wasio husika ndo wanalipa sasa, malipo ni hapahapaPaul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
Mm pia nilikuwa najiuliza sana walikuwa wapi sku zote hizo, itakuwa wanayajua mengi lkn hawatak kutuambia??
Na hilo ndio la msingiIla Daudi aoneshe vyeti Kwanza ndio haya mengine yafuate.
ni aibu kwa mteule wa Rais kuwa na cheti cha kugushi.
Daudi Albert Bashite wa Koromije aliyeishi kwa Mzee Kamese Mwanza. Akapewa Cheti cha aliyefaulu F4. Akajiunga Muccobs haumjui?Hawana majibu, wapo wanatunga mengine. Hata hili la filamu wanaweza kuwa wamekimbilia kulibeba ili basi tu wamsumbue Kiongozi mchapa kazi Mheshimiwa mpendwa.
Makonda oyeeeee
Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
Kwani kuna dhambi gani hapo?Paul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
huyu nae sijui ni dada yake na bashite