huyu nae sijui ni dada yake na bashiteHawana majibu, wapo wanatunga mengine. Hata hili la filamu wanaweza kuwa wamekimbilia kulibeba ili basi tu wamsumbue Kiongozi mchapa kazi Mheshimiwa mpendwa.
Makonda oyeeeee
siku ukikua ndio utajua, siri ya mtungi aijuae ni kataPaul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.
Alianza kuvuma sana pale alipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadae kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam ambapo alikuja na kampeni nyingi kama za uchangishaji madawati.
Jina lake la Paul Makonda liliendelea kushika chati katika vyombo habari na muda wote hakuna mtu aliejitokeza na kupinga huyo siyo Makonda.
Harakati zake zilizima ghafla majina ya wengi na hata mawaziri wakawa hawajulikani kama wapo.
Ghafla jina la Makonda lilibadilika hasa pale alipojiingiza katika kile kiitwacho vita vya dawa za kulevya. Mengi yalibuka na kuacha maswali ambayo hayajapatiwa majibu.
Maswali ya kujiuliza ni je;
1) Walikuwa wapi kumtaja makonda kwa jina la Bashite hadi pale yeye alipoibua sakata la madawa ?
2) Kama Makonda asinge wataja watu fulani kwa ishu fulani,je na wao wangemtja kwa jina la Bashite.
3) Je, wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa watu wengi marufu katika nchi hii ni waficha siri ?
4) Ni uzalendo wa aina gani unaofanywa na baadhi ya watu baada ya matukio fulani?
5) Ilikuwa ni dhambi kumtaja Bashite kabla ya sakata la dawa za kulevya ?
Inashangaza na kusikitisha kuona "taifa la Tanzania likiwa na utendaji wa kificho na kisiri siri'
Watanzania wanahitaji kuyajua mengi ila kama mtafichua baadhi ya mambo baada ya matukio,hamtaaminika.
[HASHTAG]#nasubiri[/HASHTAG] mropoke .
Dada yake bashite ni mangi kimangihuyu nae sijui ni dada yake na bashite
Wewe ni male au female.jibu plesaHawana majibu, wapo wanatunga mengine. Hata hili la filamu wanaweza kuwa wamekimbilia kulibeba ili basi tu wamsumbue Kiongozi mchapa kazi Mheshimiwa mpendwa.
Makonda oyeeeee
huyu nae sijui ni dada yake na bashite
cocomineli hoyeeeHawana majibu, wapo wanatunga mengine. Hata hili la filamu wanaweza kuwa wamekimbilia kulibeba ili basi tu wamsumbue Kiongozi mchapa kazi Mheshimiwa mpendwa.
Makonda oyeeeee
Kabla ya kukujibu haya maswali ilibidi nawe uanze historia yake yaan alizaliwa wapi, ni mtoto wa ngapi kwao, alisoma wapi Na hadi elimu ya mwisho kwa muda huu, Na kwa jina lipi nk nkPaul Makonda ni moja kati ya vijana wachache walijipatia umaarufu na umahiri wa utendaji kazi katika miaka hii machache.