Walikuwa na enzi zao hawa

Walikuwa na enzi zao hawa

siku akipata demu ujue yupo kwenye ndoto.....teh!ha!ha!hili gazeti lirudi

Ni wasanii wachache wenye uwezo wa kutengeneza hadithi na michoro ya kuvutia kama hiyo,John Kaduma toka afariki hajajitokeza mtu wa kuonyesha uwezo kama ule
 
Cku hizi ni vichefuchefu vya Global publishers..Hakuna la kufurahisha
 
Back
Top Bottom