Walikuwa na enzi zao hawa

namkumbuka golden boy mapung'o naule Mtanange hajatokea mcheza kabumbu bongo kama yule
 
Haya ndiyo yalikuwa majarida ya burudani.
 
Aisee very interesting, yamepotea kabisa hayo majarida tumebakiwa na katuni za akina mpangala, kipanya!
 
Lazima ulitafute sani ufaidi uhondo wa mpira
 
siku akipata demu ujue yupo kwenye ndoto.....teh!ha!ha!hili gazeti lirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…