Walikuwa hawaandaani

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Alhamis njema wakuu.

Tanzania bila Corona inawezekana kupitia kupitia kumuomba Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na adidhi, kinachotakiwa ni imani.

Wakuu mimi kama mimi nikiangalia na kutathimini wakati huu na wakati ule enzi za mababu zetu naamini hili swala halikuwepo.

Nilimaanisha swala la kuandaana mimapenzi, mimi siamini kama enzi hizo walikuwa wakiandaana kabla ya kufanya mapenzi na sidhani kama elimu ya mapenzi ilikuwepo kama zama hizi.

Na naamini wao enzi hizo lilikuwa swala la kuzaa tu na wala si sitalehe kama zama hizi.

Kwa maana hiyo walikuwa wanapandana tu bila maandalizi.

Je, hii dhana yangu ninayo amini inaukweli asilimia ngapi?
 
hawakuhtaj kuaandaana coz miili yao ilikua active sana kuliko sisi, na waliienjoy sana sex coz babu aliwahi nambia wao kupga goli5 na kuendelea lilikua jambo jepesi tofauti na sisi ambao tukipga vi3 tunajiona vidume kweli kweli.
 
Unaweza kuniunganisha na babu yako kama yuko hai mjukuu wangu mtarajiwa?
 
Back
Top Bottom