Walikoishia makatibu wakuu wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walikoishia makatibu wakuu wa CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Apr 11, 2011.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hii nafasi ni kama ina gundu. Ukiachia Kawawa aliyeenziwa hadi kifo chake, Gama alifikia kunyimwa hata ubunge. Mangula tumemuona juzi juzi akitapa tapa kutaka uwenyekiti wa mkoa, cheo cha chini zaidi. Kolimba alikolimbwa. Makamba katemwa kabla ya muda na tayari keshaanza kusahaulika watu wakimgeukia Mukama.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mangula kawa mkulima wa viazi bana mbona unasahau
   
 3. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msekwa umesahau ni makamu mwenyekiti CCM Bara
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Mangula aligombea uwenyekiti wa CCM mkoa, wakamfanyia fitna za ajabu wakamwangusha, sasa hivi yupo kijijini kwao analima na sijui kama wanampa hata posho sitahiki ya kujikumu ya maisha yake. Hiyo ndiyo CCM ukitumiwa unatupwa. makamba ashukuru pesheni yake ya ukuu wa Mkoa la sivyo na yeye angeenda kulima viazi Bumbuli.
   
 5. Teacher1

  Teacher1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nashauri ziwepo kanuni za kuongoza chama badalaya kutumia fikra za mwenyekiti unajua fikara za mtu hubadilika kila mara na hivyo kufanya watendakazi wake waonekane kama hawafai na yeye pekee ndiye anayefaa. Kinachoshangaza ni kuwa makatibu wote wakuu waliotoswa walionekana wao tu ndo wabaya na wenyeviti wao wakatakasika na kuonekana wasafi na wataenda kazi. Akiondoka Katibu inamaanisha nini inamaana alifanya mambo yake bila kushauliana na M/kiti wake??????
   
 6. K

  Kivia JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Na makamba atasahaulika mapema tu kwani amekoroga saaaana.
   
 7. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee mbishi yule, acha aende Bumburi akalime! :bange::bange:
   
 8. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CCM huchulia makada wao kama chewing gum ambayo utamu ukiisha unaitupa, huwezi kurudia chewing iliyoisha utamu
   
Loading...