Walidharau Sekta ya Afya sasa Tunabanana Samunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walidharau Sekta ya Afya sasa Tunabanana Samunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Albedo, May 13, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii Imekaaje Mazee?

  Na hii Je?

  Sina la Kusema

  Sasa kwa Nini Wasitangaze Samunge Kama Hospitali ya Rufaa?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hao uliowaona ni wachache.....hapa Yaeda mpaka tumeshazoea....mihelkopta kibao kila siku tena yenye reg tofauti tofauti inapita kwenda na kurudi Samunge......na ukiuliza nauli unaweza zimia.....kweli TZ kiboko cha matatizo
   
Loading...