Walichokiongea vijana wa CCM Arusha jana nimestaajabu

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Taifa haliwezi kupata maendeleo hata siku moja likiwa linanuka damu za wasio na hatia na tutaendelea kuhangaika miaka yote na kubadili marais miaka yote,tuta hukumu watu miaka yote kwa sababu taifa limejaa waongo, waonezi na wenye tabia za kikatili kabisa tena bila utu, nimesikitika sana jana baada ya kusikia maneno ya wale viongozi wa ccm arusha jana , yaani utadhan hawaelewi na hawakijui na hawahusiki kabisa na yote yaliyo tokea wakat wao ndio waratibu wakuu,

Nchi hii itaendelea kuwa maskin daima hakuna maendeleo yatakayo takiwa kufikiwa yakafikiwa , maana kama taifa halina nia ya dhati kujikomboa kiuchumi bali kila kiongozi ana nia ya dhati kujijenga kisiasa huku uchumi ukiporomoka

Ninauhakika hakuna nia ya dhati yakuibadili nchi hii zaid ya kujijenga kisiasa na kutafuta umaarufu kwa lazima kwa sababu hakuna haki ndani yake zaid ya ukatili na unyama ,roho mbaya umwagaji damu , kuna uongo ndani yake

Kutikana na hii watu watakuwa wapiga porojo tu kwenye majukwaa wakati kiuhalisia hakuna la maana linalo fanyika zaid ya ziara za kushtukiza na makamera mengi kudhalilisha watu hadharani ,kukejeli na kebehi

ndio maana tabu za maji zipo palepale , shida ya umeme zipo palepale, matatizo ya elimu yapo palepale matatizo ya afya palepale yaani kila kitu kipo kama kilivyo kuwa awali tena pengine tangu tunapata uhuru na mengine ndio yanaendelea kuzid kuongezeka pamoja na kwamba kuna mtu tunalazimiishwa kuamini kuwa anachapa kazi na anaibadilisha nchi lakin hatuon ninini hasa tunacho takiwa kumpongeza nacho maana kila kitu kipo kama kilivyo awali na vingine vimeongezeka kushuka zaid

HAKI HUINUA TAIFA Mithali 14:34. . haya maneno yanamaana sana ingawa si raisi baadhi ya watu kuelewa maana yake, na cha ajabu wanajiita wakristo na wana sadiki.
 
Tehe teh te te te unafikiri nani mwarobaini wa kuyatibu hayo!
Mwarobain ni kujikita katika kulitoa taifa na laana ya damu za wanadamu wasio na hatia maana kifo cha asiye na hatia ni laana kwa taifa lolote na ndio maana ya HAKI HUINUA TAIFA. Tena haki hakika hutaona tukiimba nyimbo za umaskin tanzania.
 
Viroba vilikuwa vinatumika kuwahadaa vijana wa arusha...sa hv no viroba...na mtoa uzi mabangi yamemharibu....arusha 2020 inarud CCM jiandae kisaikolojia usje ishia central
Sina tatizo na arusha kuwa CCm au chadema as long as kama lengo ni moja kujenga taifa bora lakin mimi ndiye mtoa na bahati mbaya situmii bangi kama ulivyo dai hapo juu ila ukikomaa kiakili utajua kuwa hatupaswi kupambana kuingiza vyama kwenye utawala ila yatupasa kupambana kuliokoa taifa katika hali hii

maana hadi sasa hapa nilipo umeme hapa umekatika natumia storage ya power bank na jana siku nzima umeme haukuwepo na hali hiyo imesha zoeleka tangu uhuru lakin pia maji nawaona kina mama hapa na ndoo wana teremka kwenye vidimbwi wanako kunywa ng'ombe tena uumbali wa zaid ya 10 km hivyo ni busara tupambane kuondoa hali hiyo kwanza kabla ya kugombania chama gani kishe hatamu arusha.
 
Nenda zako!
Mkibanwa kende kwenye Uchaguzi mnakimbilia kichochoro cha 'Mustakabali wa Taifa'
Mimi ninatumia kichwa sijui mwenzangu unatumia nini kufikiri maana hata hapo hakuna ulicho kielewa ndio maana unacho ongea tofauti na maudhui ya uzi huu , na shida ni kwamba mnashindana kuingiza vyama kwenye utawala badala ya kushindana kuleta maendeleo , na kwa jibu lako hilo kwa elimu niliyo nayo ni jibu tosha kwamba nilicho kiandika kimekugusa lakin si rahisi kukiri umeguswa .
 
42-1
Tunga sentensi malizia kwa hizo tarakimu!
 
Chadema Hakuna Uchaguzi hata wa Mtaa ambao hawajadai kuibiwa kura!
Wao kila Uchaguzi walishinda lakin kura zao zikaibiwa

Tatizo lako ni kwamba huna macho ya kuona au huna uwezo wa kuelewa? Kwa vurugu ya kufanya uahramia za ccm na kunyang'anya ushindi kwa nguvu ni dhahiri kwamba ccm haijawahi kushinda kura miaka mingi ndiyo sababu inatumia mabavu kuiba kura ama kupora ushindi wa CHADEMA. CCM ni Mugabe wa tz!. Kilichobaki ni kitu kimoja tu!
 
Mwarobain ni kujikita katika kulitoa taifa na laana ya damu za wanadamu wasio na hatia maana kifo cha asiye na hatia ni laana kwa taifa lolote na ndio maana ya HAKI HUINUA TAIFA. Tena haki hakika hutaona tukiimba nyimbo za umaskin tanzania.
Nami nasema ili hilo lifanikiwe tujitoe kwenye ushabiki wa kisiasa kupitiliza!
 
Tatizo lako ni kwamba huna macho ya kuona au huna uwezo wa kuelewa? Kwa vurugu ya kufanya uahramia za ccm na kunyang'anya ushindi kwa nguvu ni dhahiri kwamba ccm haijawahi kushinda kura miaka mingi ndiyo sababu inatumia mabavu kuiba kura ama kupora ushindi wa CHADEMA. CCM ni Mugabe wa tz!. Kilichobaki ni kitu kimoja tu!

Mbowe kasema hawaendi Mahamakani Eti ana matumaini Tume itarudia yenyewe Uchaguzi ikibaini Mapungufu!
Jecha alirudia Uchaguzi baada ya yenyewe kugundua Mapungufu mkasema ni Makosa kwa kuwa sharti mlalamikaji aende Mahakamani na Mahakama ndio iamue Uchaguzi urudiwe lakin Mara paaa Mbowe anawahadaa Chadema !

Mbowe alitangaza Kujitoa Kata Tano tu za Arumeru, Maeneo Mengine hakujitoa kwa kuwa Mambo yalikuwa mazuri!
 
apa na chadema angalia mustakabali wa taifa mtaishia kumwaga damu nakujificha mkidhani apa wapinzani na chadema kumbe mnalitia najisi taifa.
Cha ajabu hawa “mbwa “ wa CCM wanafikiri wote wanaowapinga ni CDM. Hapana. Wengi kama mimi tupo independent hatuna affiliation yoyote na CDM. Tunaona mnafanya nini.
You preach development then you kill.
 
Back
Top Bottom