Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Taifa haliwezi kupata maendeleo hata siku moja likiwa linanuka damu za wasio na hatia na tutaendelea kuhangaika miaka yote na kubadili marais miaka yote,tuta hukumu watu miaka yote kwa sababu taifa limejaa waongo, waonezi na wenye tabia za kikatili kabisa tena bila utu, nimesikitika sana jana baada ya kusikia maneno ya wale viongozi wa ccm arusha jana , yaani utadhan hawaelewi na hawakijui na hawahusiki kabisa na yote yaliyo tokea wakat wao ndio waratibu wakuu,
Nchi hii itaendelea kuwa maskin daima hakuna maendeleo yatakayo takiwa kufikiwa yakafikiwa , maana kama taifa halina nia ya dhati kujikomboa kiuchumi bali kila kiongozi ana nia ya dhati kujijenga kisiasa huku uchumi ukiporomoka
Ninauhakika hakuna nia ya dhati yakuibadili nchi hii zaid ya kujijenga kisiasa na kutafuta umaarufu kwa lazima kwa sababu hakuna haki ndani yake zaid ya ukatili na unyama ,roho mbaya umwagaji damu , kuna uongo ndani yake
Kutikana na hii watu watakuwa wapiga porojo tu kwenye majukwaa wakati kiuhalisia hakuna la maana linalo fanyika zaid ya ziara za kushtukiza na makamera mengi kudhalilisha watu hadharani ,kukejeli na kebehi
ndio maana tabu za maji zipo palepale , shida ya umeme zipo palepale, matatizo ya elimu yapo palepale matatizo ya afya palepale yaani kila kitu kipo kama kilivyo kuwa awali tena pengine tangu tunapata uhuru na mengine ndio yanaendelea kuzid kuongezeka pamoja na kwamba kuna mtu tunalazimiishwa kuamini kuwa anachapa kazi na anaibadilisha nchi lakin hatuon ninini hasa tunacho takiwa kumpongeza nacho maana kila kitu kipo kama kilivyo awali na vingine vimeongezeka kushuka zaid
HAKI HUINUA TAIFA Mithali 14:34. . haya maneno yanamaana sana ingawa si raisi baadhi ya watu kuelewa maana yake, na cha ajabu wanajiita wakristo na wana sadiki.