Walichofanya polisi arusha ni sahihi

kama unataka mjadala ungeweka alama ya kuuliza kwenye kichwa cha habari.
 

Ilikuwa sahihi ili kuhakikisha amri ya mamlaka ni ya mwisho. si vema kuleta vurugu ambazo bado zinaepukika kwa kufanya ukaidi kisa demokrasia, hata kama ingekuwa serikali ya mbowe na slaaa wangefanya hivyo kwa mazingira hayo, ingawa kuna wabishi ambao kubisha ni jadi
 

kula tano mkuu
 
Walichofanya polisi arusha ni sahihi

Hivi katika hali kama ile ya padre mwenzagu slaa kuamuru kuwatoa mahabusu kwa nguvu ilikuwa ni sahihi?. nimekuwa nikuvutiwa sana na siasa za CDM lakini sasa huku wanakoelekea wananipa simanzi.
Hongereni...mmeongeza idadi ya posts!
 
Wakuu,
Huyu si padre, subirini nitawaambia hivi karibuni huyu ni nani.

 

Na mimi naunga mkono hata mimi nilipoangalia hilo tukio polisi walikuwa hawana jinsi sema sometimes ushabiki watusumbua
 
Ni kweli unachokisema? Au wewe ndio unasumbuliwa na ushabiki wa kichama? Je unaijua A town vizuri? Mahali watu walipouliwa na polisi na kituo cha polisi mahali kilipo kama ambavyo unataka watu waamini maneno yako ni sawa? Na je Dr. Alipotoa maneno au kauli yake kulikuwa na mazingira gani? Mbona mnaanza tena kujipendekeza kwa polisi ambapo kiomgozi wenu amesema msitegemee tena polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…