Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 683
- 455
Nimekuwa nikifuatilia maoni mbali mbali kuhusu fujo zilizotokea Arusha, wachangiaji wengi wamekuwa wakilaumu polisi tena bila kuficha ushabiki wao kwa CDM. Binafsi mimi si shabiki wa chama chochote kile, na hivyo kwa mtazamo wangu baada ya kuangalia TBC muda mfupi uliopita nimeona kuwa polisi walifanya sawa na kama mauaji yalikuwa si ya kukusudia.
Hivi katika hali kama ile ya padre mwenzagu slaa kuamuru kuwatoa mahabusu kwa nguvu ilikuwa ni sahihi?. nimekuwa nikuvutiwa sana na siasa za CDM lakini sasa huku wanakoelekea wananipa simanzi.
Najua wengi watasema " Angeuawa ndugu yako n.k" lakini hii ni forum ya GREAT THINKERS tuache ushabiki wa siasa tujadili ukweli na haki ili kuweza kuiimarisha CDM ambayo imeanza kujenga imani kwa Wa Tanzania
nimekuwa nikifuatilia maoni mbali mbali kuhusu fujo zilizotokea arusha, wachangiaji wengi wamekuwa wakilaumu polisi tena bila kuficha ushabiki wao kwa cdm. Binafsi mimi si shabiki wa chama chochote kile, na hivyo kwa mtazamo wangu baada ya kuangalia tbc muda mfupi uliopita nimeona kuwa polisi walifanya sawa na kama mauaji yalikuwa si ya kukusudia.
Hivi katika hali kama ile ya padre mwenzagu slaa kuamuru kuwatoa mahabusu kwa nguvu ilikuwa ni sahihi?. Nimekuwa nikuvutiwa sana na siasa za cdm lakini sasa huku wanakoelekea wananipa simanzi.
Najua wengi watasema " angeuawa ndugu yako n.k" lakini hii ni forum ya great thinkers tuache ushabiki wa siasa tujadili ukweli na haki ili kuweza kuiimarisha cdm ambayo imeanza kujenga imani kwa wa tanzania
Polisi waliandaa taarifa kwa makusudi ya watu kama wewe ili uweze kuamini kuwa walichofanya kilikuwa sahihi. Endelea kuamini kwa sababu hilo ndilo lengo lau, ila ingekuwa vizuri ungesikia na upande wa pili unasemaje,
tafuta taarifa za upande wa pili-then compare na hizo ulizoona kwenye tbc utapata jibu-usipende kurely on single sourceNimekuwa nikifuatilia maoni mbali mbali kuhusu fujo zilizotokea Arusha, wachangiaji wengi wamekuwa wakilaumu polisi tena bila kuficha ushabiki wao kwa CDM. Binafsi mimi si shabiki wa chama chochote kile, na hivyo kwa mtazamo wangu baada ya kuangalia TBC muda mfupi uliopita nimeona kuwa polisi walifanya sawa na kama mauaji yalikuwa si ya kukusudia.
Hivi katika hali kama ile ya padre mwenzagu slaa kuamuru kuwatoa mahabusu kwa nguvu ilikuwa ni sahihi?. nimekuwa nikuvutiwa sana na siasa za CDM lakini sasa huku wanakoelekea wananipa simanzi.
Najua wengi watasema " Angeuawa ndugu yako n.k" lakini hii ni forum ya GREAT THINKERS tuache ushabiki wa siasa tujadili ukweli na haki ili kuweza kuiimarisha CDM ambayo imeanza kujenga imani kwa Wa Tanzania
Nimekuwa nikifuatilia maoni mbali mbali kuhusu fujo zilizotokea Arusha, wachangiaji wengi wamekuwa wakilaumu polisi tena bila kuficha ushabiki wao kwa CDM. Binafsi mimi si shabiki wa chama chochote kile, na hivyo kwa mtazamo wangu baada ya kuangalia TBC muda mfupi uliopita nimeona kuwa polisi walifanya sawa na kama mauaji yalikuwa si ya kukusudia.
Hivi katika hali kama ile ya padre mwenzagu slaa kuamuru kuwatoa mahabusu kwa nguvu ilikuwa ni sahihi?. nimekuwa nikuvutiwa sana na siasa za CDM lakini sasa huku wanakoelekea wananipa simanzi.
Najua wengi watasema " Angeuawa ndugu yako n.k" lakini hii ni forum ya GREAT THINKERS tuache ushabiki wa siasa tujadili ukweli na haki ili kuweza kuiimarisha CDM ambayo imeanza kujenga imani kwa Wa Tanzania
tafuta taarifa za upande wa pili-then compare na hizo ulizoona kwenye tbc utapata jibu-usipende kurely on single source

Padri unaficha jina, kumbe unagopa wanadamu wanaoua mwili! Fake padre
Ndg,
Yaelekea hujui unachosema ni sahihi ni kipi.
Je ni sahihi kisheria na kimaadili polisi kupiga raia wanaoandamana hata kama maandamano yangekuwa siyo halali?
Je ni sahihi kisheria na kimaadili polisi kupambana na kuua raia wasio na silaha kwa kutumia risasi za moto?
Je ni sahihi kisheria na kimaadili polisi kuharibu magari ya raia kama ilivyoonekana kupitia tv kwa kisingizio cha kuvunja maandamano?
Tafadhali jibu maswali hayo uthibitishe ukweli na haki au usahihi unaomaanisha.