Waliacha kupalilia matoki

Wakwetu03

Senior Member
Sep 15, 2010
190
81
Karibia kila mtu aliacha shughuli zake za kupalilia migomba ya matoki na mabhifu ili ashiriki mkutano wa CDM,ona mwenyewe IMG0221A.jpg
 
kweli nimeamini watu wanahitaji mabadiliko kiukweli kweli:israel:chek walivyoitikia wito.
 
Nchi hii inahitaji maombi ili iondokane na hiki kinachoendelea nchini kwetu, hivi inawezekana watanzania hawa walimchagua kikwete pamoja na kwamba aliwadanganya "maisha bora kwa kila mtanzania", pole watanzania mnao ongozwa na mtu mliyechaguliwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom