Walewe wanawake wanacho maanisha, wakisema vingine!

Walewe wanawake wanacho maanisha, wakisema vingine!

Aisee, wanawake mna mambo nyie!!!! Haya bana!!!

Labda kama huwajulii....

Wenzio tumedunda nao hadi tukastaafu....

Huwezi kucheza mchezo ambao hujui rules zake...hiyo ndiyo siri ya mtungi mkuu!!

Babu DC!!
 
Naona kamanda umetumia ile rule ya kujaribu bahati yako,

BTW....usipoomba utapewaje?

Kwa huruma ya kimama aliyonayo mlengwa, naamini atakupa nafasi...

Babu DC!!

Mkuu za masiku?

halafu leo ndo siku wanawake duniani so lara 1 kazi kwako
usiwaangushe wenzio
 
Last edited by a moderator:
Mkuu za masiku?halafu leo ndo siku wanawake duniani so lara 1 kazi kwakousiwaangushe wenzio

Salama kabisa mkuu,

Tumekumiss sana huku nyumbani ....hata repoti nikiandika hutaweza kumaliza kuisoma....

Ulipotelea/zewa wapi kaka??

Namwaminia bi dada....ni komando wa nguvu....Hawezi kujiangusha na wala kuangusha ukoo mzima wa SHE group!!Andaa wallet iliyotulia ...

Source Preta

Babu DC!!
 
Naona kamanda umetumia ile rule ya kujaribu bahati yako,

BTW....usipoomba utapewaje?

Kwa huruma ya kimama aliyonayo mlengwa, naamini atakupa nafasi...

Babu DC!!

Babu mpambe sana weweeeeeeeee! Sijui ujana wako ulikuwaje? The Boss you cant take me to dinner, im closing (fasting! R.I.P Kanumba) bwana mambo ya Kwaresma! Na ikiisha tu im a changed person from my wild ways! Otherwise back in time i would have loved to go to dinner with you! I lways liked my meals HOT AND IN STYLE!
 
Last edited by a moderator:
Salama kabisa mkuu,Tumekumiss sana huku nyumbani ....hata repoti nikiandika hutaweza kumaliza kuisoma....Ulipotelea/zewa wapi kaka??Namwaminia bi dada....ni komando wa nguvu....Hawezi kujiangusha na wala kuangusha ukoo mzima wa SHE group!!Andaa wallet iliyotulia ...Source PretaBabu DC!!

Mkuu nipo sana
ila ubize wa kiaina
majukumu
but nakuwepo sometimes kimya kimyaa hivi...but nipo
 
Babu mpambe sana weweeeeeeeee! Sijui ujana wako ulikuwaje? The Boss you cant take me to dinner, im closing (fasting! R.I.P Kanumba) bwana mambo ya Kwaresma! Na ikiisha tu im a changed person from my wild ways! Otherwise back in time i would have loved to go to dinner with you! I lways liked my meals HOT AND IN STYLE!

Your meals Hot and in style..
ha haa naona nimekuelewa zaidi
the offer still stand...huwezi jua...lol..
 
Ya kweli hayo lara 1..??

How do you change a fish and keep it in its old water??

Reference,

******************KUBWA LA MAADUI!!!! (GET RICH OR DIE TRYING!!!!)******************

Babu DC!!
 
Your meals Hot and in style..
ha haa naona nimekuelewa zaidi
the offer still stand...huwezi jua...lol..

Hapo sasa mkuu.....

Ndiyo kipimo chenyewe cha kutenganisha mvulani ndani ya suruali na mwanamume mwenye mamlaka kamili....

Enzi hizo bwana za 1947....ilikuwa raha bwana.....

Halafu hebu jikumbushe hiyo lugha yao hapa chini (msisitizo wa Babu ni No. 2).....

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom