Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
mkuu hukuelewa neno 'ghaibu' !Duh! We ni dini gani? Mtu akiwa rais basi anakaimu nafasi ya mumgu?

Lowasa alishiriki kufisadi naye hatoki mtegoni. Padri akishiriki uhuni ni muhuni pia kama wahuni wengine EL hatoki katika kashifa labda atumie mamilioni kujisafisha kama afanyavyo sasa.
Nawachukulia wanaomtuhumu mh EL kwa wizi na ufisadi kama wanaigiza COMEDY flani hivi....Siwezi kuamini bila kuona wala kushuhudia. Siwezi kushutumu na kutoa hukumu kwa maneno ya wahuni wa kwenye vijiwe vya wavuta bangi, wacheza kamari na walevi wa dawa za kulevya. Wale waropokao baada ya akili zao kushituliwa na nguvu ya ziada kutokana na moshi wa tumbaku haramu au maji ya nafaka iliyochacha. Siwezi kushikia bango maneno ya wacheza bao na waswahili kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Wala siwezi kuumiza kichwa kwa uzushi na uchafu wa makusudi........VUVUZELA wameshindwa kuthibisha na kuonyesha ushahidi wa uchafu wa Mh EL, Hivi ukimshitaki mwizi mahakami halafu hakimu akataka ulete ushahidi na kithibiti, wewe ukabaki kusema tu, mwizi huyu! Mwizi huyu! Mwizi huyu... Ama kwa hakika hakimu atakuona punguani!! Bado nasubiri jasiri, mwenye ushahidi wa kuniaminisha. Auweke hadharani
umepotoka hufai dunia hii we ni fisadi wa mawazonawachukulia wanaomtuhumu mh el kwa wizi na ufisadi kama wanaigiza comedy flani hivi....siwezi kuamini bila kuona wala kushuhudia. Siwezi kushutumu na kutoa hukumu kwa maneno ya wahuni wa kwenye vijiwe vya wavuta bangi, wacheza kamari na walevi wa dawa za kulevya. Wale waropokao baada ya akili zao kushituliwa na nguvu ya ziada kutokana na moshi wa tumbaku haramu au maji ya nafaka iliyochacha. Siwezi kushikia bango maneno ya wacheza bao na waswahili kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Wala siwezi kuumiza kichwa kwa uzushi na uchafu wa makusudi........vuvuzela wameshindwa kuthibisha na kuonyesha ushahidi wa uchafu wa mh el, hivi ukimshitaki mwizi mahakami halafu hakimu akataka ulete ushahidi na kithibiti, wewe ukabaki kusema tu, mwizi huyu! Mwizi huyu! Mwizi huyu... Ama kwa hakika hakimu atakuona punguani!! Bado nasubiri jasiri, mwenye ushahidi wa kuniaminisha. Auweke hadharani
aise naona sasa EL ameamua yaani amevamia hata jf, duh jamaa ni sumu anajisafisha kila sehemu. mtetezi naona uko kazini.
Kwahiyo wewe ndio Kijeshi wale tunawaita Arassment bomber!!Hapa nachukua jaramba! Bado sijaingia kazini.
Matungwa nafikiri hujui maana jina lako.ungejua basi usingeandka upupu huu.watz hasa wahaya wenzako huwez kwenda kwenu ukaeleza huu ujinga.kama EL sio mwz kwa nini alibwaga manyanga?mewatuma mmuoshe ila haoshek na akiosheka bas hatakatiki.yawezekana nyie ndio mlishiriki kuiba kura kwa njia ya mtandao sasa mna strategy kusafisha. Believe me 'no stone will remain unturned in 2015.Ni kweli na mimi nawaunga mkono huyu mzee hata mimi nilidhani ni mchafu kama ilivyokuwa inaelezwa lakini tumeyasikia yale yaliyo nyuma ya pazia hata kama ni kwa kiasi kidogo.
Jamani let us be fair ni viongozi wangapi waliopo madarakani ambao hawapigi videal ama madeal ya hapa na pale kwa hakika viongozi wote kila mmoja kwa nafasi yake anajaribu kupiga deal kulingana na urefu wa kamba yake.Hivyo basi nikirudi kwenye hii mada mimi pia bado sijashawishiwa kuamini kuwa huyu bwana EL ni mwizi hivyo inavyoelezwa ni kweli ni mfanyabiashara na mwanasiasa pengine kama ilivyo kwa mtendaji wa kata/mbunge/diwani akiwa anafanya pia biashara ya mazao mfano ni mkulima ama mfugaji na akauza mazao ama mifugo yake.
EL amekanusha na kusema JK anafahamu na huyuhuyu raisi alishasema mfano kuwa hawajui DOWANS sasa nani mkweli na nani muongo ina maana EL anaweza kumsingizia JK ilhali waha ni marafiki?haiwezekani!!
huyu jamaa kweli alisetiwa na waliomseti ndo hao wamepewa madaraka ya ukuu wa mikoa na uwaziri kama ni kweli ni wazalendo na walikuwa wanamaanisha ku expose yote mabaya waliyoyaona kuhusu sekta ya umeme ina maana walishindwa kung'amua kuhusu uhusika wa ''JK'' kwenye mkataba wa IPTL? then wakasema eti " kuna taarifa nyingine ambayo hatuisema kama tungeisema mambo yangekuwa mabaya" walikaa kimya kwa faida ya nani?kwa nini wasisema na wahusika wote either wakaomba msamaha ama kujiuzuru!! walikaa kimya na matokeo yake badala ya kuendelea kupambana eti Mh S.6 akastopisha ule mjadala na wala mkakati wa kutekelezaaazimio yaliyo kubaliwa ukafa natural death alafu wanadai eti ni wapambanaji kwa ajili ya nani? walipata feed back kutoka kwa wananchi kuwa wameridhishwa!??? na hatua ? jibi ni hapana!!! huu ulukuwa ni mkakati wao na kweli walifanikiwa baada ya jamaa kujiuzulu hawakuwa na agenda nyingine!!!
HIS PAST IS OVER.......AND WHEN GOD SAYS NO ONE WILL SAY NO AND NOTHING WILL COME BETWEENN!!! HAKUNA USHAHIDI WA KUMTIA HATIANI! kama ni kimemo wangapi wameandika vimemo!!!!!!!!
NINI CHA KUFANYA;
1. Ni ku review miiko ya uongozi
2. Kuinsist uwajibikaji
3. labda kutenganisha biashara na siasa kukwepa conflict of interest
Nawachukulia wanaomtuhumu mh EL kwa wizi na ufisadi kama wanaigiza COMEDY flani hivi....Siwezi kuamini bila kuona wala kushuhudia. Siwezi kushutumu na kutoa hukumu kwa maneno ya wahuni wa kwenye vijiwe vya wavuta bangi, wacheza kamari na walevi wa dawa za kulevya. Wale waropokao baada ya akili zao kushituliwa na nguvu ya ziada kutokana na moshi wa tumbaku haramu au maji ya nafaka iliyochacha. Siwezi kushikia bango maneno ya wacheza bao na waswahili kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Wala siwezi kuumiza kichwa kwa uzushi na uchafu wa makusudi........VUVUZELA wameshindwa kuthibisha na kuonyesha ushahidi wa uchafu wa Mh EL, Hivi ukimshitaki mwizi mahakami halafu hakimu akataka ulete ushahidi na kithibiti, wewe ukabaki kusema tu, mwizi huyu! Mwizi huyu! Mwizi huyu... Ama kwa hakika hakimu atakuona punguani!! Bado nasubiri jasiri, mwenye ushahidi wa kuniaminisha. Auweke hadharani
Jumakidogo, reference to no 13.
Mineno isiyokuwa na maana ya nini? Umeuliza suali jibu huwezi basi nyamaza.
By the way:
Na huyo EL wenu atueleze tu huo utajiri wote ameupatia wapi katika nchi hii mpaka JKN alimshtukia?
Lowasa on work!