wewe iyo chai imekupeleka wapiMlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
🙌🙌🙌🤣Mkuu hapa unajibizana na wapumbavu
Usitufokee kama wewe hunywi ni uzembe wakoUlimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.
Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.
Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hakuna watu wanafki kama wasiyo tumia kileviFanya yanayokuhusu..hujui pombe ndo imeifikisha nchi kwenye uchumi wa kati
Hajui sikolojia za wanawake huyo...muombeeAisee.... wasio walevi hawagongewi..
Mkeo kama kuliwa ataliwa tu unywe usinyweAsante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kumuombea huyu ni kupoteza muda... mwache anywe chaiHajui sikolojia za wanawake huyo...muombee
Wafuatiliaji Sana wa maisha ya watu..wivu..unafiki...gubu....nk nkMtu asiye kunywa pombe wanatakuwaga na ushamba fulani
Ova
Aache ujinga aseme ni kitu gani amefanya extra ordinary kwa kuwa hanywi pombe.. kwanza kwa thread yake tu anaonekana snitch wakati naye ni mwajiriwa!Mzee umeamua kuwafokea vijana walevi😂😂😂
PombeAsante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Na kutwa kucha kuwasema wanywaji.. utawasikia... ANGEKUWA MBALI SANA YULE, TATIZO POMBE..!! Uliza sasa alivyonavyo yeye..!! Utashangaa... ukimwambia akuonyeshe alivyosevu kwa kitokunywa pombe, HANA KITU.... na wanywaji wengine wamewaacha mbali wanywa juisi kimaendeleoWafuatiliaji Sana wa maisha ya watu..wivu..unafiki...gubu....nk nk
Hakuna watu wanafki kama wasiyo kunywa pombeKwahyo msiouknywa hamkaziwi hao wake zenu au?..mwe...
Na kiwe hakijafanywa na mnywaji pombe yeyote..!!! Kama alivyonavyo na wanywaji wanavyo, BASI HAKUNA MAANA YA KUTUPIGIA KELELE TUNAOKUNYWA....Aache ujinga aseme ni kitu gani amefanya extra ordinary kwa kuwa hanywi pombe.. kwanza kwa thread yake tu anaonekana snitch wakati naye ni mwajiriwa!
Moja ya mambo asiyotakiwa kufanya mtoto ni pamoja na kunywa pombe na kufanya ngono.Tofauti ni mtu mzima hawezi kufanya mambo anayofanya mtoto...
Jamaa mshambaaa sanaHajui sikolojia za wanawake huyo...muombee
Mshamba sana hyoWafuatiliaji Sana wa maisha ya watu..wivu..unafiki...gubu....nk nk