shida ya excessive drinking ni pale ini linapochoka kutengeneza enzyme ya kufanya convertion kwenda aldehyde na hivo kuleta toxicity mwilini. na pia fatty acids zikitengenezwa nyingi zinafanya ini lijae mafuta kwa kitaalam steatotic liver inayofanya ini kuwa gumu na kugoma kufanya kazi au kuleta cancer