Walevi nawaomba hapa leo

Sheria ni unakula then ndo unakunywa.. Huwezj shushia chakula kwenye pombbe bali chakula ndo unashushia pombe
Unyama fanya yote piga piga bia kisha supu kisha bia tena malizia mwisho funga na supu..hii ni kama unakunywa kwa masaa mengi ..mfano umeanza kunywa mchana kama saa 7 na kumaliza usiku kama saa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…