Walev bhana

Walev bhana

Ha ha ha ha!
Au itakuwa wakati anaandika hii post ndo walikuwa wanachukua tax na mwenzie ikabidi aachilie!
Ha ha ha ha.
 
Mmh tuachieni wakongwe wewe mgeni wa fani kaa kando ona sasa unapost wakati umelewa.
 
Kweli ulevi noma.........Hadi mtoa maada mlevi, kasinzia na kujisahau kabisa.
 
amekosea ku paste jamani. Atarudi. Kama sio hapa ataanzisha uzi mwingine.
Endeleeni kumchungulia.

Angalizo: Ulevi noma.
 
Back
Top Bottom