Walemavu waandamana kushinikiza uongozi manispaa ya Ilala


M

MNYOO JOGOO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
195
Likes
5
Points
35
M

MNYOO JOGOO

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
195 5 35
Katika hali isiyotarajiwa, walemavu wamekusanyika katika ofisi za Manispaa ya Ilala wakishinikiza kutizwa kwa ahadi iliyotolea na uongozi huo kuwapatia mtaji kwa ajili ya kufanya biashara ndogondogo.

Nikiongea na mmoja wa walemavu hao, amesema: "Manispaa walituambia tuandae maeneo yetu ya biashara wakiahidi kutupa mtaji, tukaenda Pepsi wakatutengenezea vibanda vya kufanyia biashara kurudi Ilala kwa ajili kupata mtaji imekuwa ni kutuzungusha tu. Ni mwaka sasa umepita".

Kwa kweli inatuuma sana kwa kitendo hiki, aliongeza.
 

Forum statistics

Threads 1,252,182
Members 482,015
Posts 29,799,380