nna mpenzi wangu kila interview akifanya anakataliwa na kutolewa maneno ya zarau na kejeli kwa sababu ya ulemavu wake wa KIGUGUMIZI...ni kweli kua mlemavu wa kigugumizi hawezi kufanya kazi?..,...KAHUDHURIA INTERVIEW ZIFUATAZO.....1..EROLINK, alifanya writen int. na computer uses akapita ila kwenye ORAL, HR mama 1 mtu mzima alimwambia una uwezo ila JINSI UNAVYOONGEA HUTAWEZA KUFANYA KAZI NA SISI...2..SEA CLIFF hotel napo kuna mzungu alimwonyesha zarau kutokana na jinsi anavyoongea..,3..ENRICH AFRICA baada ya interview HR ambaye ni dada 1 maji ya kumd hvi mnene alimwambia CV YAKO INAONYESHA UNA UWEZO ILA UNA KIGUGUMIZI...3..Alishafanya pia access bank, kebys hotel pia napo alifanyiwa the same.....ENYI MA HR WENYE TABIA HIZI tambua kua mara nyingi MUNGU anawainua wanyonge juu assume umefukuzwa kazi unaenda sehemu fulani kuomba kazi unakuta yeye ndio manager utajisikiaje?