Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,430
Ukiondoa makampuni ya simu na mawasiliano kwa ujumla ,mtu wa Telecom ni mwana-IT wa kwanza duniani.Tele ndio mwana-TI kamili hiyo sehemu yoyote IT inapohusika ujue mwana-Telcom anaweza fit vizuri.Mtu wa tele ni programmer mzuri sana kuliko unavyodhania.Nadhani hii kozi inatolea dit, ila soko la telecom kidogo lina shida sio kama miaka ya 2000!! nadhan Deadbody aje atupe mwanga kuhusu soko la telecom hapa tz!!
nashukuru mkuu, nafikiri dogo itabidi achague course nyingine tu.Kwa level ya degree hamna ila kwa level ya masters nenda nelson mandela university pale arusha wana hiyo kozi!
Tulicho krem ni kwamba mtu wa tele anafanya kazi voda, airtel na tigo... Ila kiuhalisia kwenye tele kuna mambo mengi wanasoma... Na ukiwa mjanja you can do alot!!Asante maana kuna watu waliambia bora n ikazane na electronic eti telecom haina soko
Umeipa Telecom sifa ambazo sio za kwakeUkiondoa makampuni ya simu na mawasiliano kwa ujumla ,mtu wa Telecom ni mwana-IT wa kwanza duniani.Tele ndio mwana-TI kamili hiyo sehemu yoyote IT inapohusika ujue mwana-Telcom anaweza fit vizuri.Mtu wa tele ni programmer mzuri sana kuliko unavyodhania.
Kwa kifupi mtu wa telecom ndio anajukumu lote la kuifanya dunia kuwa kijiji.Utandawazi unaletwa na mtu wa telecom hivyo pasipo telecom hakuna dunia ya kisasa.
Popote inapohusika Computer anahusika mtu wa telecom pia hivyo tunasema Telecom ndio mama wa IT duniani.Hata nyie wanaJF mnaweza kutype comment zetu humu nasisi tunasoma mmeshiriki katika kuiendeleza Telecom
Asante!
Telecom ya Bongo njaa tupuTulicho krem ni kwamba mtu wa tele anafanya kazi voda, airtel na tigo... Ila kiuhalisia kwenye tele kuna mambo mengi wanasoma... Na ukiwa mjanja you can do alot!!
Soma post ya deadbody hapo juu...
Unafanya Engineering gan mkuu. Unapata mil 50 mpaka 100 kwa project ya muda gani?Sio kweli.
Ukiona Engineer maskini huyo sio competent
Ni kawaida sana kwangu kupata milion 50 ,100 kwa project moja.
Hahahaha,mweye kufanya dunia iwe kijiji ni computer engineersUkiondoa makampuni ya simu na mawasiliano kwa ujumla ,mtu wa Telecom ni mwana-IT wa kwanza duniani.Tele ndio mwana-TI kamili hiyo sehemu yoyote IT inapohusika ujue mwana-Telcom anaweza fit vizuri.Mtu wa tele ni programmer mzuri sana kuliko unavyodhania.
Kwa kifupi mtu wa telecom ndio anajukumu lote la kuifanya dunia kuwa kijiji.Utandawazi unaletwa na mtu wa telecom hivyo pasipo telecom hakuna dunia ya kisasa.
Popote inapohusika Computer anahusika mtu wa telecom pia hivyo tunasema Telecom ndio mama wa IT duniani.Hata nyie wanaJF mnaweza kutype comment zetu humu nasisi tunasoma mmeshiriki katika kuiendeleza Telecom
Asante!
Habari wana JF?
Kwa vijana wanaotaka kusoma kozi za uhandisi na hawajui wapi pa kuanzia tafadhali usisite kuuliza swali hapa ili uweze kujuishwa unachotaka kujua!!
Nitatoa maelezo kuhusu kozi mbali mbali za uhandisi na changamoto zake hasa ukiwa chuoni!
Pia unaweza kupitia hapa ili kuona baadhi ya mada zilizoanzishwa kuhusu kozi za uhandisi kwa hapa kwetu tanzania...
Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)
Nakaribisha maswali...
nani kafa maskini......unazani ma engineer nishombo kama vikozi vyenu mnavo somaa,,,afu ukipita site ukakuta watu wamevaaaa helmets sio wote maengineer.....you know nothing about engineers please dont simulate ideasKwa nini ma- Engineer wengi mnakufa maskini licha ya kusoma vitu kuntu?? Wengi wenu mnaishia kuendeshwa na wafanya biashara kwa ujira wa thumuni na kukuza vichwa mkivaa helmet na mi- overoli yenu michafu.
Ushauri wa bure:
Ukitaka kuwa na pesa achana na mambo ya engineering, labda kama unatafuta misifa isiyo na tija.! Wekeza kwenye ujanja wa elimu ya kusaka mapene acha kupoteza muda.
Majibu ya kusema nadhani tena.Japo sio kozi ya uhandisi ila kwa nnachojua ni kozi inayohusu maswala ya survey!!
Kwa mfano kabla hujajenga nyumba au barabara au any engineering struncture survey lazima ifanyike, na hii ndio kazi ya wataalam wa geomatic!!
Hii kozi, diploma inatolewa chuo cha ardhi nadhan katika matawi yao hasa morogoro!!
Japo si langu ila SUA walikua wanawapokea ilimradi uwe ulisoma phy na chem olevel.Nina mdogo wangu kasoma EGM kapata DDE yaan math, economics n.a. Geography respectively. Anaweza kusoma kozi Zipi za engineering
Ukishaona neno engineering jua kuna hesabu kali na physics ndani.Jamani pale bandari nimeona kuna kozi ya maintenance eng wanatoa,na mie kwenye hesabu nipo ovyo sana inakuwaje hapo kwenye iyo kozi hesabu zake zinakuwaje
Electrical Engeneering vipi kuhusu hi kozi, kuhusu ajira na mzunguko wake kutoka kimaisha?
Kuna field tatu mama za uhandisi.Vipi kuhusu electrical eng ikoje hii fani