Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

ndio maana Mimi naililia daah! nadhani kwa sasa tukae kwa utulivu wakati waarabu hawa wakilishughulikia jambo hilo
 
Ni swala la muda tu hata kwako watafika, jipange kisaikolojia ila hawa jamaa walisema watatoa zenye uwezo wa kutoguswa na ban

Mm mara kadhaa wananletea msg za ku-update wananpa link naifuata, ila mle ndan kuna lugha ya kiarabu lazma uwe mpole ufany trial and error mpaka ufanikiwe.

GB whasap walinipiga bann, nkahamia Yo..
 
Mm mara kadhaa wananletea msg za ku-update wananpa link naifuata, ila mle ndan kuna lugha ya kiarabu lazma uwe mpole ufany trial and error mpaka ufanikiwe.

GB whasap walinipiga bann, nkahamia Yo..
Mi nilihamia Yo napo nikala ban
 
DARK MODE PIA.
 
kwan wakipiga ban di hao wengine wanaendelea kuwepo? wapige tu...
but mi ningeshaur wajiulize kwa nn watubwanahamia kule....
 
Daaaah mm pia yamenikuta mdau ....kwakweli hii official ya kwenye play store inaboa sana tafadhali kama hao GB wakileta hyo vision mpya usisite kunitag
 
Daaaah mm pia yamenikuta mdau ....kwakweli hii official ya kwenye play store inaboa sana tafadhali kama hao GB wakileta hyo vision mpya usisite kunitag
Jaribu hiyo mdau aliyotoa hapo juu Yowa
 
Soon or later WhatsApp clone zitabaki historia

Wameanza na gb wataendela kwa kadiri wingi wa watumiaji wa clone husika
Ni swala la muda tu
 
Nashangaa unalalmika ban wakt untumia unofficial watsap.....utakula ban ad ukome
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…