ndio maana Mimi naililia daah! nadhani kwa sasa tukae kwa utulivu wakati waarabu hawa wakilishughulikia jambo hiloHizi hapa ni moja ya tofauti na hiyo official version zipo kotekote zina manufaa yake na hasara pia inategemeana na mtazamo wa mtu, mahusiano yake na kwa watu wake wa karibu... Na hizi tofauti ndio moja ya sababu official version wanatupiga ban
1. Unaweza weka status video yenye zaidi ya mb 10
2. Kila baada ya muda mfupi huwa updated na kuja na feature kali zaidi
3. Ant status delete, ukishaweka tu hata ufute mi nitaiona na nitajua uliifuta hahahah
4. Ant message delete yaan ukishanitumia sms hata ufute lazima niione na naona uliifuta
5. Unaweza badili mwonekano wake kwa 100℅ kuanzia kwenye font hadi icon
6. Unaweza share video yenye ukubwa sana tofauti na hiyo nyingine
7. Naweza ku control blue tick na second tick,,, ww kama unanidai utatuma sms na kamwe hutoona kama mezisoma
8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia we utaona Mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online
9. Naweza download status yako...
Wadau ebhu ongezeeni
Ni swala la muda tu hata kwako watafika, jipange kisaikolojia ila hawa jamaa walisema watatoa zenye uwezo wa kutoguswa na ban
pia epuka kuforward message nyingi, mwisho watu wa 5Mi nilihamia Yo napo nikala ban
Mi nilihamia Yo napo nikala ban
DARK MODE PIA.Hizi hapa ni moja ya tofauti na hiyo official version zipo kotekote zina manufaa yake na hasara pia inategemeana na mtazamo wa mtu, mahusiano yake na kwa watu wake wa karibu... Na hizi tofauti ndio moja ya sababu official version wanatupiga ban
1. Unaweza weka status video yenye zaidi ya mb 10
2. Kila baada ya muda mfupi huwa updated na kuja na feature kali zaidi
3. Ant status delete, ukishaweka tu hata ufute mi nitaiona na nitajua uliifuta hahahah
4. Ant message delete yaan ukishanitumia sms hata ufute lazima niione na naona uliifuta
5. Unaweza badili mwonekano wake kwa 100℅ kuanzia kwenye font hadi icon
6. Unaweza share video yenye ukubwa sana tofauti na hiyo nyingine
7. Naweza ku control blue tick na second tick,,, ww kama unanidai utatuma sms na kamwe hutoona kama mezisoma
8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia we utaona Mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online
9. Naweza download status yako...
Wadau ebhu ongezeeni
Nipe utaratibu mkuu... Nifanyaje ili nisipigwe ban nikiichukua hiyo
Daaaah mm pia yamenikuta mdau ....kwakweli hii official ya kwenye play store inaboa sana tafadhali kama hao GB wakileta hyo vision mpya usisite kunitag