Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

hili suala la kufuatilia third parties za whatsapp huwa linalipuka na kuzimika kama ukaguzi wa vyeti vya madereva barabarani...... GB whatsapp omar kisha toa kitu v.6.95 antiban..... maisha yanaendelea huku.... mimi niko na hizi third parties mwaka wa 5 huu na nlianza na whatsapp+ tukala sana ban miaka ile.... nikaona hawa hawako stable nikadaka GB mpaka sasa maisha yanaendelea.... no ban no frastireshons...
 
Soon or later WhatsApp clone zitabaki historia

Wameanza na gb wataendela kwa kadiri wingi wa watumiaji wa clone husika
Ni swala la muda tu
ngumu sana boss..... developers wa kiarabu wamewazidi akili kina zuckerberg wamekuwa wateja wengi sana..
 
hili suala la kufuatilia third parties za whatsapp huwa linalipuka na kuzimika kama ukaguzi wa vyeti vya madereva barabarani...... GB whatsapp omar kisha toa kitu v.6.95 antiban..... maisha yanaendelea huku.... mimi niko na hizi third parties mwaka wa 5 huu na nlianza na whatsapp+ tukala sana ban miaka ile.... nikaona hawa hawako stable nikadaka GB mpaka sasa maisha yanaendelea.... no ban no frastireshons...
ni swala la mda tu wameanza huku 95.85v watakuja na huko
 
halafu suala lingine.... kama namba yako uliihamisha tuu kimagumashi basi lazma wakunase...... mimi nilifuta kabisa namba yangu whatsapp kisha nikajiunga na third party.... wakinipiga ban nafunga safari mpaka makao makuu.... maana tusipangiane..... ukiona umepigwa temp... ban basi wakikurudisha tuuu badilisha namba kwenye ambayo hawaitambui katika servers zao..... maisha yanaendelea..
 
Unazungumzia DND mode = Do not disturb mode yaani data umewasha lakn kwa upande wa WhatsApp unakuwa umezima,,, aisee namiss haya maujanja kinoma...

Wakitoa zenye uwezo wa kukwepa hizo ban tujulishane wadau

Hivi Yo! inayo DND Mode mkuu...?
 
mambo ya kuwa na namba mbili za wasap huoni ni kuwapa watu usumbufu kujitambulisha huko?
 
Hizi hapa ni moja ya tofauti na hiyo official version zipo kotekote zina manufaa yake na hasara pia inategemeana na mtazamo wa mtu, mahusiano yake na kwa watu wake wa karibu... Na hizi tofauti ndio moja ya sababu official version wanatupiga ban

1. Unaweza weka status video yenye zaidi ya mb 10

2. Kila baada ya muda mfupi huwa updated na kuja na feature kali zaidi

3. Ant status delete, ukishaweka tu hata ufute mi nitaiona na nitajua uliifuta hahahah

4. Ant message delete yaan ukishanitumia sms hata ufute lazima niione na naona uliifuta

5. Unaweza badili mwonekano wake kwa 100℅ kuanzia kwenye font hadi icon

6. Unaweza share video yenye ukubwa sana tofauti na hiyo nyingine

7. Naweza ku control blue tick na second tick,,, ww kama unanidai utatuma sms na kamwe hutoona kama mezisoma

8. Naweza kuficha last seen kwa mtu mmoja mmoja na kwa group pia we utaona Mara yangu ya mwisho kuingia WhatsApp ni mwaka jana kumbe nipo online

9. Naweza download status yako...

Wadau ebhu ongezeeni
Unaweza ku view status ya mtu bila kuonekana.
 
Namba nne naingilia wapi niweze kuona zilizofutwa
 
Unazungumzia DND mode = Do not disturb mode yaani data umewasha lakn kwa upande wa WhatsApp unakuwa umezima,,, aisee namiss haya maujanja kinoma...

Wakitoa zenye uwezo wa kukwepa hizo ban tujulishane wadau
Kwenye gbwatsap hii ipo wapi ndugu
 
halafu suala lingine.... kama namba yako uliihamisha tuu kimagumashi basi lazma wakunase...... mimi nilifuta kabisa namba yangu whatsapp kisha nikajiunga na third party.... wakinipiga ban nafunga safari mpaka makao makuu.... maana tusipangiane..... ukiona umepigwa temp... ban basi wakikurudisha tuuu badilisha namba kwenye ambayo hawaitambui katika servers zao..... maisha yanaendelea..
😂😂😂😂😂
 
Ipo hivi hiyo ni setting na inafanya kazi kuanzia pale ulipoiset hizo sms utaziona pale pale kwenye chatting kama kwenye group au ulikuwa unachat na mtu hlf akaifuta sms we utaona hiyo sms pale pale na kutakuwa na kaalama kuwa hii sms kaifuta

Namba nne naingilia wapi niweze kuona zilizofutwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom