sasa ndoa ya namna hiyo ni ya kazi gani? why stay? ndoa ni Upendo, Heshima, Amani na Furaha ya pamoja, sasa inapofikia stage ya kusema najipa furaha mwenyewe hiyo si ndoa tena, kwanini usitoke ukaanze upya na kuwa really happySiku hizi wanawake tunafocus kwenye kujipa furaha yetu sisi wenyewe, tofauti na zamani. Tunajitoa out, tunajipeleka shopping... whatever makes us happy.
We don't stay up late wondering where your sorry ass is.
We stay up late working on our side hustles building up empires on our own.
Na hapo ndo mnarudi kuja kulia lia humu kwamba tumekuwa wajeuri tukishapata hela.
Kumbe kule tu kuwapotezea visa vyenu kunatosha tu.
Nyie ndo wa kujitathmini 2022. Because we are not quitting on ourselves anytime soon.
January inaingia inabidi tuanze kubana matumizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha ubahili mtoto wa kike
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] haya utalipa nusu na mimi nusuJanuary inaingia inabidi tuanze kubana matumizi
Ngoja aje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena Extrovert Ni katibu mwenezi kabisa
Hapo sawa๐[emoji16][emoji16][emoji16] haya utalipa nusu na mimi nusu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tunashukuru KWA kufunga mwaka kwa ujumbe mzuri ,Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....
Mko kwenye ndoa zenu.......
Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............
Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mlio kwenye ndoa zenu....lakini bado mpo ingle....
Yaani single but married (wenye viinglish vyenu pia mnywe maji mengi tu mtulie)
Mkisaidiana na wale ambao wapo lonely but married
Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022.
Wale ambao hamna wa kuzungumza nae wala kucheka nae....ingawa mliosaini nao vyeti mnalala nao kitanda kimoja ..... jipepeeni tu
Wale ambao ndio mastriker.....mnalisha familia nyinyi.....mnalea watoto nyinyi...ila mnakumbatia mito wakati wapenzi wenu wakiwa busy kuchat na wapenzi wao (hahahahahahahahah) vuteni shuka mbu wasiwangate, wale ambao waume zenu 99% ya kipato chao wanahudumia wapenzi wao huko mitaani kunyeweni maji mengi kushusha uchungu........ na wale ambao wapenzi wenu hawarudi kabisa (au wamesafiri na wapenzi wao holiday) huo muda wa kulala usiku bora mkalinde sungusungu
Yaani kiufupi...........
Hebu mjitafakari kwa nini mko na hao wenza wenu.........................
Mchukue hatua ili muachane na upweke
Single wote mlio kwenye ndoa zenu............habari zenu tena.
Na nyie Married but Available(MBA) tutaonana mwakani, labda kutakuwa na ujumbe wa pasaka kwenu!!!!
Heri ya mwaka mpya kwenu wote!!!
Nb
kuna wanaume mbingu mtaisikia tu!!!
mambo magumu sana siku hizi!!!Tunashukuru KWA kufunga mwaka kwa ujumbe mzuri ,
Mahusiano yamekuwa Fragile Sana ,dakika mbili mtu ameanza kuchepuka,
Watu wameolewa/wameoa kazi zao
Watu wameolewa na simu zao
Katika ulimwengu huu ambao mawasiliano yamerahishishwa Ukiwa kichwa Nazi lazima usumbuke Sana ,maana haihitaji nguvu kubwa Sana kubadili mahusiano,mipango na mitongozo yote inafanyika kwa simu,watu wanakutana kwenye nyumba za wageni kumalizia mipango iliyoanza kwenye simu.
Mtu anaweza kutongozwa kwa simu/Sms mbele ya mume wake
Mume anaweza kutongoza kwa simu mke akiwa pembeni
Vishawishi vyote viko kiganjani ,wala haviko mtaa wa pili
Ni wewe na Mungu wako .
Tuendelee kunawa kwa maji tiririka.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah!!! Si kucheka haya!!Mtoa mada[emoji4]
List yote ya MBA wote wa Humu jf ninayo hapa.[emoji2]
Niwataje au nisiwataje?[emoji57] (JOKE)]View attachment 2061459
I'm humbled, binamu!
Aah kumbe wewe ni binamu yanguI'm humbled, binamu!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo la maji tiririka ndio la msingiTunashukuru KWA kufunga mwaka kwa ujumbe mzuri ,
Mahusiano yamekuwa Fragile Sana ,dakika mbili mtu ameanza kuchepuka,
Watu wameolewa/wameoa kazi zao
Watu wameolewa na simu zao
Katika ulimwengu huu ambao mawasiliano yamerahishishwa Ukiwa kichwa Nazi lazima usumbuke Sana ,maana haihitaji nguvu kubwa Sana kubadili mahusiano,mipango na mitongozo yote inafanyika kwa simu,watu wanakutana kwenye nyumba za wageni kumalizia mipango iliyoanza kwenye simu.
Mtu anaweza kutongozwa kwa simu/Sms mbele ya mume wake
Mume anaweza kutongoza kwa simu mke akiwa pembeni
Vishawishi vyote viko kiganjani ,wala haviko mtaa wa pili
Ni wewe na Mungu wako .
Tuendelee kunawa kwa maji tiririka.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
You are so wrong just like many others.sasa ndoa ya namna hiyo ni ya kazi gani? why stay? ndoa ni Upendo, Heshima, Amani na Furaha ya pamoja, sasa inapofikia stage ya kusema najipa furaha mwenyewe hiyo si ndoa tena, kwanini usitoke ukaanze upya na kuwa really happy
Read and understand what I wrote.You don't find love by taking your self out, going for shopping or by building an empire. They are not even close to being a substitute.
I think wee need to fix and repair our broken ways. And for the broken fellas that can't be fixed, replace them.
An empire without love, is an empire of chaos. Even shopping ain't fun, if your partner is a pain in the ass. And after taking yourself out, you'll have to come back home, where your broken fella awaits.
You can't build a family where everyone seeks refuge out there on their own. We need families built on a firm foundation of LOVE. A family where you know your partner and other family members got your back.
So here is my two cents, fix your broken nigga, or replace him. Self love is a myth!
"We don't stay up late wondering where your sorry ass is. We stay up late working on our side hustles, building empires on our own"Read and understand what I wrote.
Not once did I mention self love.
Then come back and we can argue all day.
Mie simo jamani nimekuwa kaka wa kanisa sikuhizi๐ ubaharia nimeacha
Mjuba unaachwaga tu๐Toeni vitisho hata mtuvunje taya ila kwenye ndoa tutaingia tu ni bora tunyenyuke tunapoanguka kuliko kushindwa kunyenyuka tuangukapo,
Nitaachwa nitasalitiwa ila kuna siku nitampata mnyonge wangu, 2022 ๐๐๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐๐ค๐ข๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ค๐ ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐ฒ๐ ๐ญ๐ฎ๐ญ๐๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ซ๐๐ก๐ ๐ง๐๐ฆ๐ข ๐ง๐ข๐ฌ๐๐ก๐๐ฎ ๐ฆ๐๐๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐๐๐ก๐ฐ๐,
๐๐ข๐ฅ๐จ ๐ง๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐๐ง๐ ๐ฎ