mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 213
nawapa salamu za mwaka mpya tu...View attachment 2061456
Kulikoni?
Kumetokea nini?
Hakuna jipya. Ndoani huko wengi wanalea watoto tu lakini mapenzi yalishajifia zamani. Ni kila mtu na lwake!
Hii jeans ndio ya kufungia mwakaMtoa mada[emoji4]
List yote ya MBA wote wa Humu jf ninayo hapa.[emoji2]
Niwataje au nisiwataje?[emoji57] (JOKE)]View attachment 2061459
wataje wataje tafadhaliMtoa mada[emoji4]
List yote ya MBA wote wa Humu jf ninayo hapa.[emoji2]
Niwataje au nisiwataje?[emoji57] (JOKE)]View attachment 2061459
Inaskitsha sanaa, weeng waliiingia ndoani kwa kufuata mkumbo. Na wengne n tamaa tu za pesa na kuonesha "umma" (adhira) kuwa wako ndoani(na wao wamepata wa kuwaoa), hawakujitafakar zaid kwamba kuna maisha baada ya harusi.
Hii jeans ya miaka 60 ya uhuru au sio😅 60th AnnivesaryMtoa mada[emoji4]
List yote ya MBA wote wa Humu jf ninayo hapa.[emoji2]
Niwataje au nisiwataje?[emoji57] (JOKE)]View attachment 2061459
Wahusika wanakuja kukupa muongozoKwa wanawake wote ambao mmeolewa.....
Mko kwenye ndoa zenu.......
Na mashati yenu ya vitenge sare sare na waume zenu.............
Salamu kwenu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mlio kwenye ndoa zenu....lakini bado mpo ingle....
Yaani single but married (wenye viinglish vyenu pia mnywe maji mengi tu mtulie)
Mkisaidiana na wale ambao wapo lonely but married
Mjipige kifua mara tatu...... mfanye maamuzi na mapinduzi ya mwaka 2022.
Wale ambao hamna wa kuzungumza nae wala kucheka nae....ingawa mliosaini nao vyeti mnalala nao kitanda kimoja ..... jipepeeni tu
Wale ambao ndio mastriker.....mnalisha familia nyinyi.....mnalea watoto nyinyi...ila mnakumbatia mito wakati wapenzi wenu wakiwa busy kuchat na wapenzi wao (hahahahahahahahah) vuteni shuka mbu wasiwangate, wale ambao waume zenu 99% ya kipato chao wanahudumia wapenzi wao huko mitaani kunyeweni maji mengi kushusha uchungu........ na wale ambao wapenzi wenu hawarudi kabisa (au wamesafiri na wapenzi wao holiday) huo muda wa kulala usiku bora mkalinde sungusungu
Yaani kiufupi...........
Hebu mjitafakari kwa nini mko na hao wenza wenu.........................
Mchukue hatua ili muachane na upweke
Single wote mlio kwenye ndoa zenu............habari zenu tena.
Na nyie Married but Available(MBA) tutaonana mwakani, labda kutakuwa na ujumbe wa pasaka kwenu!!!!
Heri ya mwaka mpya kwenu wote!!!
Nb
kuna wanaume mbingu mtaisikia tu!!!
Hivi yanayosemwa kuhusu huyu mtu ni kweli? Au ndiyo yale yale ya wachuna ngozi?View attachment 2061456
Kulikoni?
Kumetokea nini?
Hakuna jipya. Ndoani huko wengi wanalea watoto tu lakini mapenzi yalishajifia zamani. Ni kila mtu na lwake!
Aisee sina uhakika. Wabongo kwa maneno utawaweza? Waweza kuta mdada wa watu wala hajui kinachoendelea.Hivi yanayosemwa kuhusu huyu mtu ni kweli? Au ndiyo yale yale ya wachuna ngozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
inasikitisha,
siku hizi hakuna misini ya ndoa kabisa
wengine wanafunga ndoa kwa presha na mikumbo ya jamnii
mwisho wa siku unakuta mweza wake ana mwenza mwingine!!!!
Jeans ya kibabe Sana iyo,Hii jeans ya miaka 60 ya uhuru au sio[emoji28] 60th Annivesary
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jeans ya kibabe Sana iyoHii jeans ndio ya kufungia mwaka
Afsaaaaa😃😃😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jeans ya kibabe Sana iyo
Enzi hizo ukivaa Iyo jeans Kisha ukatupia na t-shet ya BOT ya kijivu.Afsaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa wanawake wote ambao mmeolewa.....