Wale wazinzi zingatieni hili

Wale wazinzi zingatieni hili

Umehamua kutukana tu, hata siwezi kusoma ulichoandika. Kwanza unashindwa kutifautisha uzinzi na uassherati. Uzinzi ni mbaya Lakini sio kwa mahusiano hayo ulioyajenga. Sijui mama, Dada etc. Hakuna kitu kama hicho
 
Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu.
Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo;

Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.

Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.

'What goes around comes around'.
Haya yatakuwa ni mafundisho ya kiisilamu, maana hakuna kutakaswa kwake aliueamini dhidi ya asiyeamini. Ni kanuni juu ya kanuni na amri juu ya amri. Dhambi ya mwovu hurithiwa na mwenye haki.
Ngumu kumesa!!
 
Back
Top Bottom