Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,643
Daaah mkuu umenichekesha😂🤣🤣🤣🤣Unafanya ukitonga hospitali kufuata mchongo,kumbe na daktari unaekutana nae nae kitonga yupo pale kimkakati🤣🤣🤣🤣🤣.Risk zipo tu kwenye fani yoyote mkuuUkitonga kazi sana unaweza jifanya daktari ukamtia mgonjwa sindano la ng'ombe! Haitoshi unaweza jifanya mgonjwa ukakutana na watu waliochafukwa nyongo,watu waliobobea kwenye fani ya ukitonga wewe na ugonjwa wako ukalishwa vile vidonge vya kijani vya ng'ombe! Na vilivyo vikubwa vile vidonge ng'ombe mwenyewe hamezi mpk viwekwe kwenye maji ila kwa watu waliochafukwa utameza tu..!
Unaweza jifanya mchungaji ule pesa za waumini kumbe waumini nao wapenda vitonga! Mbaya sana kuwachanganya malaika wa Mungu na shetani mnaweza kupigwa mapigo pande zote mbili!Daaah mkuu umenichekesha😂🤣🤣🤣🤣Unafanya ukitonga hospitali kufuata mchongo,kumbe na daktari unaekutana nae nae kitonga yupo pale kimkakati🤣🤣🤣🤣🤣.Risk zipo tu kwenye fani yoyote mkuu
Mwanangu mmoja anaitwa Isaack,kanichukua toka home enzi hizo nipo dogo nimemaliza form four.Tukaenda kariakoo kuna sehemu wanauza computers used,mimi sijui kumbe bro kampiga mchungaji wa mchongo wa kipentekoste computer kumi desktop na alizileta pale kuziuza.Unaweza jifanya mchungaji ule pesa za waumini kumbe waumini nao wapenda vitonga! Mbaya sana kuwachanganya malaika wa Mungu na shetani mnaweza kupigwa mapigo pande zote mbili! Ushawahi kutenda dhambi mpaka shetani anatoa note book ananakili dhambi yako? Sasa jiulize kwanini ainakili?
kuna dhambi hajawahi kuziona..😅
Asalaleeee...😂Mwanangu mmoja anaitwa Isaack,kanichukua toka home enzi hizo nipo dogo nimemaliza form four.Tukaenda kariakoo kuna sehemu wanauza computers used...
Sasa lazima uangalie na mazingira maana mserereko usipokuja umeingia hasara mkuuKitonga usijinunulie bia peke yako kama mko wa3 mezani, zungusha round mzee uwashtue wana halafu subiri mserereko
Kwa hiyo unakuwa mwanaume halafu unakuwa unapiga mizinga hovyo na kudandia pombe za bure za wanaume wenzako?Kuna watu wameumbwa duniani na fani zao,leo tuzungumzie wale wazee wa vitonga.Mjini kugumu ila ukiwa mzee wa vitonga unaona mji mwepesi maisha yanaendelea.Bali ukiwa kitonga kuna vitu lazima uwe navyo au uvifanye kwa maisha yetu ya kimjini mjini...
Mkuu zilipigwa ngumi hapo🤣🤣🤣😂Afu kariakoo hakuna dogo watu kibao,mchungaji wa mchongo full kuvuja damu,pale dukani baadhi ya vitu viliibiwa.Wakazibeba zile computer wakaenda kituoni kumalizana maana ilibidi mwenye duka arudi kutuliza msala ila bro mda huo huo keshapanda abood kukimbilia mji kasoro bahari kusikilizia kwanza.🤣🤣😂😂Asalaleeee...😂
Hii fani msomi,vitonga wanaishi poa sana hapa town. Afu vitonga professional sio walevi bali wanaslide na ukitonfa kwenye michongo ya maana sio ofa za pombe au mademu.Kwa hiyo unakuwa mwanaume halafu unakuwa unapiga mizinga hovyo na kudandia pombe za bure za wanaume wenzako?
Hapo kifiro kinakuhusu
Sijakuelewa mkuuHata wewe mtoa mada ni mzee wa kamseleleko. Unajisaulisha eeeh😎
Hii ni zaidi ya "Bongo Dar es salaam" ya Prof. J.Kumbe mchungaji nae zile computer desktop kazipiga sehemu kuna watu wana rb yake🤣🤣🤣🤣 na wapo na polisi wanasubiria wamdake.Ilikua noma maana na mimi nikajifanya mteja sijui chochote sikuja na brother🤣🤣😂😂.
Kwa mazingira haya ya ukosefu wa ajira napendekeza iwe ni somo kwenye ujasiriamali😂.Japo tugawane umaskini kwa hiari🏃Kuna watu wameumbwa duniani na fani zao,leo tuzungumzie wale wazee wa vitonga.Mjini kugumu ila ukiwa mzee wa vitonga unaona mji mwepesi maisha yanaendelea.Bali ukiwa kitonga kuna vitu lazima uwe navyo au uvifanye kwa maisha yetu ya kimjini mjini.
town tunajua hii ni fani kama fani nyingine na ingebidi iwe inafundishwa vyuoni kama somo la ujasiriamali.
Mkuu ukiwa kitonga hii Tanzania nyepesi unaishi popote🤣🤣🤣Kwa mazingira haya ya ukosefu wa ajira napendekeza iwe ni somo kwenye ujasiriamali😂.Japo tugawane umaskini kwa hiari🏃
Je, hawa wazee wa vitonga, wana tofauti gani na hawa 'CHAWA' , 'CHAWA Pro', 'CHAWA Pro Max'Kuna watu wameumbwa duniani na fani zao,leo tuzungumzie wale wazee wa vitonga.
Mzee ilikua noma afu bro kanikimbia sina nauli,ilibidi nipige mdogo mdogo kutoka kariakoo mpaka kinondoni mkwajuni🤣🤣🤣🤣 kwa bi mkubwa wake kumpa habari za mwanaeHii ni zaidi ya "Bongo Dar es salaam" ya Prof. J
Chawa watoto wa juzi.Vitonga wamekuepo toka enzi za julius🤣🤣🤣.Toka enzi za Kabanga Mwitambe professa katika ukitongaJe hawa wazee wa vitonga, wana tofauti gani na hawa 'CHAWA' , 'CHAWA Pro', 'CHAWA Pro Max'