Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,892
- 8,971
Wale wenzangu na mim tunaofuatulia Vampire diaries season 6 kitu kimetoka Jana...don't miss pia The Originals ipo njian next wiki itakuwa kwa hewa..
Wale wenzangu na mim tunaofuatulia Vampire diaries season 6 kitu kimetoka Jana...don't miss pia The Originals ipo njian next wiki itakuwa kwa hewa..
Tangu niangalie 24Hours, prison brake,,,,,cjaona bora kama hizooo...
Kuna kitu kama Revolution, Marvels Agents of shield, Game of thrones, Vikings, Davincs zote ni nomaaa sana Pia mkuuu
Me natafuta strike back season five
Tangu niangalie 24Hours, prison brake,,,,,cjaona bora kama hizooo...
Nijuze ikitoka mkuu ellymckoye
for sure, mwenyewe nimekwama hapo mpaka leo, nikiangalia nyingine ni kupoteza tu muda ila utamu niliupata kwenye 24 na prison.
Me natafuta strike back season five
Na pia ile REVENGE nayo nimeiona season 3 imeanza wiki hii.
Okay nadhani nilikosea nilikuwa namaanisha revenge season 4..........Breaking Bad ninazo zote season 5 ila kuangalia ndio bado sijaangalia, nataka kujua kama ni nzuri nisije poteza muda wangu bure.Revenge season three imeanza na kuisha siku nyingi mkuu,breaking bad mi nimeona ni nzuri nimeangalia hadi season 5
for sure, mwenyewe nimekwama hapo mpaka leo, nikiangalia nyingine ni kupoteza tu muda ila utamu niliupata kwenye 24 na prison.