Wale wazani unaikumbuka JUMA NA ROZA?

Wale wazani unaikumbuka JUMA NA ROZA?

Mkuu umenikumbusha loong time 1976, asante sana. Pia alikuwepo Damasi na dada yake, kama ipo naomba uilete kama hii.
 
Karume Kenge


 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    29.8 KB · Views: 464
  • image.jpg
    image.jpg
    40.7 KB · Views: 349
  • image.jpg
    image.jpg
    47 KB · Views: 344
Watz tumepoteza hazina kubwa. Nitavipata wapi vitabu hivyo. Aliyenavyo awasiliane nami 0774 205159
 
Karume Kenge


hadi raha jamaniiii, sijui kwann walibadilisha hii mitaala yaan raha tulipata sisi bwana siku hizi watoto wanamiss vitu vizuri sana kama nyimbo, hadithi tamutamu, hata michezo pia umenikumbusha mbaliiiiiiii............
 
Mleta mada nashukuru sana kunikumbusha enzi hizo
 
Nakumbuka enzi hizo unasoma kwa kuonyesha na kijiti, kijiti na spidi ya kusoma inakuwa tofauti. Umeshafika mstari wa nne wakati maandishi yapo mstari wa pili. Ni mwendo wa kukariri tu
 
Ahaa ndio maana kuna wahehe wengi kina juma na roza, ilhali majina hayo hayaendani na imani zao!!
Unashangaa mhehe anaitwa Juma, toka azaliwe hawahi hata kukutana na muislamu!
 
dah!...umenikumbusha mbali sana mkuu...lete na "Manenge na Mandawa"
 
Kiukweli tulijifunza kutokana na hadithi hizi nzuri za kuvutia na kuelimisha. Kwa mitaala tuliyo nayo kwa sasa watoto wetu hawapati hadithi hizi nzuri kutokana na ubovu wa mitaala hiyo kwani hata vile vitabu vya hesabu za kikwetu na hesabu za ushirika wamevitoa sijui ni kwa maslahi ya nani.Na ndio maana watoto wetu kila mara wanafeli kwani mbinu za kufundishia ni butu hazimvutii mwanafunzi kupenda kusoma au kujifunza
 
Back
Top Bottom