babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
k vant gin
Jamani msipende ma k vant kuna jamaa kafa kwa hizo k vant zimemla maini na figo moyo ukazima huku Ukonga miezi miwili ilioishaK vant mixer Tonic water, mbuzi pembeni au Mdudu kama siko table moja na muislamu
HennessyHeinessy sijui kama nimepatia Spelling