Kuna ndugu zetu wa IT walikuwa na utalaam wa kuunganisha, internet Unlimited sh 10,000 kwa mwezi,yaani mtu unapiga mnyonyo mwezi mzima, kitambo sasa sioni matangazo yao kwenye jukwaa, wajitokeze watwambie, tatizo nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.