Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,573
- 21,736
Toka juzi inasoma hivi ....Tatizo nn wakuu ...PC aina ya HP window 10
Hapo inaonekana bootloader ya Operating system imekosekana kwenye HDDToka juzi inasoma hivi ....Tatizo nn wakuu ...PC aina ya HP window 10
![]()
Thanx The Great!! I' ll Try It.Hapo inaonekana bootloader ya Operating system imekosekana kwenye HDD
-AU huenda HDD ikawa imeharibika
-AU jaribu ku install windows tena kwa kutumia bootable device like USB au DVD
Repair windowsMimi yangu toka mchana imestuck yaani inakuja hadi kwenye kulog in but cursor haimove
Noted Chief!!Fungua.. toa hard disc uiweke tena vzurii... ikirudia kufanya hvyo.... jua kuwa hard disc imekufa...
Kanunue hard disc mpya hlf uje uiwekee os upyaa
Repair windows
Nawezaje Fanya mwenyewe au inabidi niisalimishe kwa fundi?Repair windows
Mbn nimekuelewesha vzr tu inawezekana data kutoka kwenye hdd hazipelekwi kusoma kwenye motherboard ndio maana inaonekana kama hakuna hdd jaribu kuangali hizo nyaya zinazopeleka taarifa kwwnye motherboard kama ziko vizuriNahic tatizo sio HDD ...maana nimeitoa nikaweka kwenye PC nyingine ikasoma vizur tu....sasa sijui ni nn
Samahani kiongozi mimi laptop yangu haikubari windows 7 ila 8 na kuendelea inakubali tatizo nini mkuu.Mbn nimekuelewesha vzr tu inawezekana data kutoka kwenye hdd hazipelekwi kusoma kwenye motherboard ndio maana inaonekana kama hakuna hdd jaribu kuangali hizo nyaya zinazopeleka taarifa kwwnye motherboard kama ziko vizuri
Ukiwa unaiweka hyo 7 inaleta meseji gani?Samahani kiongozi mimi laptop yangu haikubari windows 7 ila 8 na kuendelea inakubali tatizo nini mkuu.
Ni Dell INSPIRON N5050, RAM 4GB, Processor Intel (R) pentium (R) CPU B960 @2.20GHz 2.2GHz.
![]()
Sema sikumbuki ila Kwa ujumla huwa inasema kuna kitu kimefeli hasahasa ukiwa umemaliza kabisa kuinstall windows Ile inaanza kufungua windows ndiyo inaleta hiyo message.Ukiwa unaiweka hyo 7 inaleta meseji gani?
Hard disk hasomi ndo maana window inashindwa ku bootToka juzi inasoma hivi ....Tatizo nn wakuu ...PC aina ya HP window 10
![]()