Interesting, sometimes maisha yanaenda yanavyotaka sio unavyotakaHizo story nikiwa form 2 bro wangu alienda kusoma EGM akawa anatupigia za akina Lipumba mwishowe ndoto zangu za kuwa doctor zikakatishwa na mwl wa bios aliyekuwa anatumia notice za mwaka 47,nikavutiwa na EGM ajabu nikafaulu combi tatu PGM,PCM& EGM nikavhaguliwa PGM kufika shule naambiwa hii combination tangu ianzishwe hajawahi kufaulu mtu hata div 3,Daaah ndoto za kuwa rubani wa ndege zikaisha ksb Mwl physics alikuwa wa hovyo sana nikasoma mwezi nikahamia EGM nikasoma zangu nikapiga div two yangu safi nikaenda chuo nikafanya finance now mambo si mbaya nategemewa kazini na familia hakika EGM ndo amekuwa mkombozi
Yes ,huwa mtu akiniuliza kombi ipi nzuri kabla hajaisoma au kuipenda tangu awali huwa namwambia afaulu kwanza then ndoto zipo zinazotimia na zipo zisizotimia lakini pia abafilike kulingana na mazingiraInteresting, sometimes maisha yanaenda yanavyotaka sio unavyotaka
Kwa hiyo hakuna mwanafunzi wa egm aliye pata one ya 3 ukiacha hao ulio wataja?Namaanisha div one ya 3, na wastan km wa Lipumba
Hizo story nikiwa form 2 bro wangu alienda kusoma EGM akawa anatupigia za akina Lipumba mwishowe ndoto zangu za kuwa doctor zikakatishwa na mwl wa bios aliyekuwa anatumia notice za mwaka 47,nikavutiwa na EGM ajabu nikafaulu combi tatu PGM,PCM& EGM nikavhaguliwa PGM kufika shule naambiwa hii combination tangu ianzishwe hajawahi kufaulu mtu hata div 3,Daaah ndoto za kuwa rubani wa ndege zikaisha ksb Mwl physics alikuwa wa hovyo sana nikasoma mwezi nikahamia EGM nikasoma zangu nikapiga div two yangu safi nikaenda chuo nikafanya finance now mambo si mbaya nategemewa kazini na familia hakika EGM ndo amekuwa mkombozi
Niliacha ksb mwl wa Physics alikuwa wa ajabu ukiuliza swali anatukana matusi ya nguoni,anafundisha ilimradi na alikuwa doja kishenzi pia mazingira hayakuwa rafiki kwa PGM japokuwa haikuwa combi niliyoipenda lakini pia history ilichangia so nikabadilisha gia angani ambayo sikujuta ksb nilifauluKwa hiyo uliacha kusoma PGM kisa umeambiwa hakuna aliye wahi pata div 3? Na wewe ukaamini?
Huyu nae anatuambia hakuna aliye wahi pata one ya 3 ya egm ukiacha akina lipumba yani ni upuuzi mtupu!
Na kuna mtu akisikia stori za kijinga kama hizi ataacha kusoma egm ahamie hkl!!
Ndio maana sipendi hizi stori za vijuweni maana zinaharibu future za watu.
Wasalimie hapo DRD.EGM (BAA) div 1.4 nakula bata TRA