Wale wapenzi wa Operamini 4.4 baada ya kilio cha mda mrefu sasa ....

Wale wapenzi wa Operamini 4.4 baada ya kilio cha mda mrefu sasa ....

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Kitu kipya kimetoka cha Operamini 4.5 chenye download manager kwa zile simu zenye java na hilo limekuwa kilio cha watu wengi ambao simu zao hazina uwezo wa kuendesha opera mini 5, 6 na 7 kwa hiyo tegemea mabadiliko kwa sababu Ucweb kawa tishio kwa opera
 
Nimedownload ila xjaona tofauti kubwa na op.mini 4.4.
 
hawa c wanazdownload kwenye vi wapsites! Wanaandikia operamini 8 kumbe ni operamin 4.2

Ndiyo manake mkuu eti hata antivirus wanaenda kuchukua kwenye viweb vya ajabuajabu hahaha
 
ucweb zikiitwa browser nayo itakwenda? page haifunguki yote mpaka ukurasa wa pili! opera still rock, mpinzani wake pekee ilikuwa BOLT browser !
 
Back
Top Bottom