Wale wapenzi wa Novel nzuri

Wow. Yo guwwwwd.ddaaaaah!kumbe wengi ni walevi wa Sidney. Dah!ila hapo kune Mistress of the game umeniacha.najua ni Master of the game.ama my memory is deceiving me?

Windmill of the gods ya aina yake pia.NEUSA MUNEZ.kibokooo.

MISTRESS OF THE GAME ni novel iliyokuwa published baada ya kifo chake mkuu. Nadhani haina hata miaka mitatu. Niliiona pale Scolastik Bookshop mlimani city siku ambayo salio lilikuwa halisomi fresh so sikuinunua. Nilipoenda siku nyingine kununua nikakuta kimeisha.
 

Nikakuta kimeisha.lol. Umenchekesha hapo. Powley superstar1
 
Last edited by a moderator:
Sijavisoma na sina. Unavyo kamanda? Niazime basi!

OmG.fanya hima uvisome.mimi sikuhiz sinunui novel superstar1. Ni mwendo wa kudownload tuu epub na kuvisoma.kama unaweza kusomea from fone ama tablet just download the novels.alafu unakua na app ya ub reader.unakua kavile unasoma kitabu kabisa.no mauvivu.do that if you can
 
Last edited by a moderator:

thanks kamanda
 
Superstar 1tafuta hiyo al capone na my life in the mafia ya vicent teresa ni true story tamu sana, vincent alikuwa mtu mkubwa katka new england mob iliokuwa ikiongozwa na raymond patriaca akifuatiwa na henry tameleo.
vincent alikuwa anaripot kwao baada ya kucheza deal nyingi na kukamatwa akageuka informer hapo ndo kazi ya kuwindana coz testimony yake ilisababisha mabosi wengi kukamatwa .
 
Nimependa mlivyokubaliana. Mimi sjasoma hata kmojawapo tajwa hapo juu. Nami mnielekeze namna ya kupata. Nipo kimara Dsm
 
Papillon

Semi-autobiographical novel by Henri Charriere

Henri Charrière, called "Papillon," for the butterfly tattoo on his chest, was convicted in Paris in 1931 of a murder he did not commit. Sentenced to life imprisonment in the penal colony of French Guiana, he became obsessed with one goal: escape. After planning and executing a series of treacherous yet failed attempts over many years, he was eventually sent to the notorious prison, Devil's Island, a place from which no one had ever escaped . . . until Papillon. His flight to freedom remains one of the most incredible feats of human cunning, will, and endurance ever undertaken. Charrière's astonishing autobiography, Papillon, was published in France to instant acclaim in 1968, more than twenty years after his final escape. Since then, it has become a treasured classic -- the gripping, shocking, ultimately uplifting odyssey of an innocent man who would not be defeated. Papillon - Henri Charrière - Google Books
 
Shelf langu kwenye iBook limejaa novel za
James Hardly Chase
Mario Puzo na
Siyden Sheldon
 
Sasa mkuu nitapataje hizo za sheldon na mario puzo? nahitaji chache tu. Bloodline, The naked face na mpya zilizochapwa baada ya Sydney kufariki.
 

Nimejaribu kusearch vitabu vya Sydney Sheldon lakin nineambulia patupu,kama una link naomba unisaidie.
 
Last edited by a moderator:

Novel za Sidney, If tomorrow comes, Master of The Game na the Best laid Plans ni Master Piece.
Nimebahatika kusoma novel zake zote mpaka nitatengeneza collection yake.
 
Angalia vizuri hajakiandika yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…