Wale wapenzi wa Novel nzuri

Wale wapenzi wa Novel nzuri

captain zulu

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
44
Reaction score
6
Wana jf mwenyekujua novel nzuri za kifundisha kama think big n.k naomba unitajie majina yake na niweze kununua ...ni hilo tu wana jf..
 
Think big sio novel, tafuta na Gifted Hands, The big picture, pia waweza tafuta science and religion.
 
nenda hapo juu kwenye search andika vitabu au novel ,itakuletea page za mdau mmoja hizo link then uta download vitabu vingi tu
 
Habari Wanandugu,

Napenda kuomba msaada wenu mwenye kuwa na kitabu hiki cha fictional novel kinaitwa THE TITAN, kimechapishwa mwaka 1985 na Author ni FRED MUSTARD STEWART.


Nilikuwa nacho kitambo kikapotea ni kitabu kizuri sana kwa wale wapenzi wa novel, kama kuna yeyote mwenye kujua wapi naweza kukinunua kwa hapa Tanzaniaanisaidie.


AHSANTE.
 
Natafuta mtu tuazimane novel wandugu. Napendelea waandishi wafuatao: Sydney Sheldon, Jeffrey Archer, Harold Robbins, Barbara Tylor Bradford, John Grisham, Tom Sharpe, Mario Puzo, Chase,etc. Sababu ni kwamba, kwanza, kuna novel ambazo watu wanaweza kuwa nazo lakini madukani hazipo, pili kuna wakati uchumi unagoma hata kama madukani zipo. Kwa mfano kuna kitabu kimoja cha riwaya nilikisoma zamani sana hata mwandishi nimemsahau, kinaitwa USHINDI WA MAHABA, nimekitafuta sana hakipo.

Mimi sina Grisham's lakini nina Sheldon's na Chase's kibao. Several Archer's na Taylor's na moja moja za waandishi kibao.
Regards,
Okon
 
hivo vingi tunavyo vya soft copy, vp vya willy gamba unavyo?
 
mimi nataka..maisha ya pelle na mchezo murua wa kandanda...mohammed ally....king solomon minners...damon anf king pithius.mkuu kama nawza kupata nicheki 0753195359...call au whatsap
 
Hivi ni Novel gani kali kabisa uliyowahi kusoma na ni za mwandishi gani? Binafsi naona MASTER OF THE GAME, RAGE OF ANGELS, na THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT za Sydney Sheldon ndio kali zaidi. Halafu kuna A MATTER OF HONOUR ya Jeffrey Archer na THE GODFATHER ya Mario Puzo.

Zipi ulzosoma wewe ni kali zaidi?
 
mimi nataka..maisha ya pelle na mchezo murua wa kandanda...mohammed ally....king solomon minners...damon anf king pithius.mkuu kama nawza kupata nicheki 0753195359...call au whatsap

Hivyo sina kamanda. King Solomon's mines nilikuwa nacho akaazima mshikaji kakipoteza. Lakini nitanunua kingine very soon.
 
borne identity ya robert ludrum na my life in the mafia ya vicent teresa achilia mbali chicago gangster ya al capone.
 
The memories of MIDNIGHT
MemoriesOfMidnight.jpg
 
kwa wapenzi wa real live events(true stories)..
book:Not without My daughter (international bestseller )
Authors: Betty Mahmoody, William Hoffer
742cb2c008a0ca59eccfa010__aa240__l.jpg


summary:In August 1984, Michigan housewife Betty Mahmoody accompanied her husband to his native Iran for a two-week vacation. To her horror, she found herself and her four-year-old daughter, Mahtob, virtual prisoners of a man rededicated to his Shiite Moslem faith, in a land where women are near-slaves and Americans are despised. Their only hope for escape lay in a dangerous underground that would not take her child...
 
Back
Top Bottom