Lil dove
Senior Member
- May 9, 2017
- 156
- 196
Cake ya 1kg
Mahitaji:
Unga g 250
Sukari g 250
Vegetable oil 250g
Baking powder 2tsp
Baking soda 1tsp
Zabibu kavu
Chumvi kidogo
Cocoa 75g
Kahawa 1cup(chemsha maji yachemke ndo uweke 2tsp ya kahawa kisha pima 1cup)
Mayai 5
Vannila 2tsp
Orange flav 1tsp
Maziwa nusu kikombe
Jinsi ya kuandaa
Washa oven,set moto wa juu na chini,weka 170°c
Andaa kifaa kwa ajili ya kuokea keki yako kwa kupaka siag chombo chote,kisha nyunyiza unga pande zote,
Chekecha unga,baking soda&powder,cocoa,chumvi kisha weka pembeni
Weka mafuta sukari kwenye mixer usage had sukar ilainike
Weka mayai na uendelee kumix kwa speed
Punguza speed na uanze kuweka mahitaji uliyochanganya mwanzo,ongeza kahawa na flavour zako,hakikisha umechanganyika vizuri
Weka kwenye chombo cha kuokea kisha chukua zabibu zako ziweke unga kidogo,hii inasaidia zisizame chin ya cake na kuungua,kisha ziweke juu ya mchanganyiko wako huku ukizizamisha kidogo kwa kutumia mkono
Weka kwenye oven na uoke kwa 80min na moto uwe 170°c
Cake ya chocolate haihitaji moto mkali ,ukiweka moto mkali inaungua au kutengeneza vishimo katikati
Baada ya lisaa angalia kama keki ni tayar kwa kuweka kijit,kikitoka kisafi means cake ni tayar ,but kikitoka kinanata keki inakuwa bado..