Wale wanawake wakulala nao chini kwenye mkeka wamepotelea wapi??

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
780
Maisha tuliyowakuta wanaishi babu zetu na bibi zetu yalikuwa unaweza ishi na mke mnalala kwenye mkeka, hamna godoro mnashinda na njaa hata siku mbili, lakini penzi halipungui hata tone wanazidi kupendana kila saa kila siku.

Ninachojiuliza yale mapenzi yako wapi miaka hii?? Maana saiz ukiombwa pesa ya kununulia rotion ukamwambia huna kama alikuwa anakupigia simu na kukutumia sms basi utaona kasi imepungua au hapigi wala hatumi sms tena.

Wanawake wa zamani mme ikikosa wanakupa moyo wanakufariji kuwa usikate tamaa, ukikosa hela unamwonea huruma mke wako siyo kwamba atateseka la hasha bali atapata taabu ya kukubembeleza na kukutia moyo. Lakini leo ukikosa hela hata kama kuna uwezekano wa kuchuma tembele na kupika chakula utsubiri mpaka utakoma. Najiuliza ule upendo wa zamani uko wapi???

Mwanamke wa sasa anajua uwezo wetu wa kati na kuna malengo mnapambana kuyafikia lakini kila shughuri anataka mchangie mwende na kila shughuri anataka nguo mpya hata kama nyingine imepita juzi harudii nguo kwenye sherehe kana kwamba watu ndiyo walewale. Zamani mambo hayo hayakuwepo tatizo nini???

Wanawake wa siku hizi hata kama unamjua toka A mpaka Z. Maisha halisi ya kwao lakini ukiishi naye anataka onekane kama amezoea raha sana, kwamba kwao walikuwa wanaishi maisha mazuri sana. Kiujumla wanawake wetu wa siku hizi asilimia kubwa ni waigizaji wa maigizo tatizo ni nini?.

Najiuliza tu wenye kujua majibu wanisaidie maana simwone tena mke wa kushindia mlenda ili mjenge, simwoni mke wa kuuza vitumbua ili alishe familia, siku hizi hakuna mke wa kukuombea mwanaume unapondoka, simwone mwanamke wa kukunyanyua na kukufariji unapoyumba kiuchumi, kama wapo siwaoni mimi mwenzenu.
 
Tulale kwenye mkeka,nichume tembele,vitumbua nipike mimi,jua la utosi liniishie mwilini looh,tukipata kitanda na godoro mnaanza kuwaona mbwa koko dharau,mateso na majigambo yanainuka kisa tuu mwezi umekuandamia,.ndio maana wanawake(baadhi)wanaona ujinga bora akukute navyo tuu hata ukimpiga poa kwani shin'gapii kuliko tuanze wote afu uje unione ng'onda hapana kwakweli kila mtu atafute chake mkutane kwenye kuunganisha vikojoleo tuu basi.
 
Ewaaaa kwenye kuunganisha vikojoleo mambo moto moto
 
Nenda kijijini wapo wengi tu. Tatizo lako wewe unaishi mjini halafu unataka maisha ya wanawake wa vijijini. Nenda huko huko kijijini utakutana nao kibao. Usitupotezee muda wetu.
 
Babu zetu buana! Hana hata godoro anaoa,kwa sasa hapana,mambo yamebadilika,kujipanga kwanza!
 
Binti wa Kizaramo Bi Sikuzani aliolewa na na
Chacha, Mkuria safi wakawa wanaishi Musoma
kwa mapenzi ya hali ya juu. Siku moja
wakaamua kuja Kisarawe kuwasalimu wazazi
wa Sikuzani. Bahati mbaya Chacha akaugua
malaria kali sana na kwa siku mbili hakuweza
kula. Hatimae siku ya tatu mama mkwe aliingia
kwenye chumba cha mkwewe kumjulia hali
akamkuta kidogo ana nafuu; MAMA MKWE : Vipi
baba unadhani tukuletee nini? CHACHA:
Mukiniretea uchi wa moto nitacharibu kidogo
MAMA MKWE : (Aliondoka kwa aibu) We
Sikuzani, mumeo naona amepona anakuhitaji
upesi
 
Hebu msipende kutupa hila za ajabu ajabu.

Katika hivyo ulivyoandika kuna baadhi vinapotokea haviepukiki ila vingine kwa maisha tu ya kawaida ambayo tunaishi miaka hii haviwezi kujirudia abadan asilan.
 
Tulale kwenye mkeka,nichume tembele,vitumbua nipike mimi,jua la utosi liniishie mwilini looh,tukipata kitanda na godoro mnaanza kuwaona mbwa koko dharau,mateso na majigambo yanainuka kisa tuu mwezi umekuandamia,.ndio maana wanawake(baadhi)wanaona ujinga bora akukute navyo tuu hata ukimpiga poa kwani shin'gapii kuliko tuanze wote afu uje unione ng'onda hapana kwakweli kila mtu atafute chake mkutane kwenye kuunganisha vikojoleo tuu basi.
Sasa kama ni hivyo kila mtu atafute chake mbona kila siku mnatuomba pesa c na nyie mtafute za kwenu
 
Maisha tuliyowakuta wanaishi babu zetu na bibi zetu yalikuwa unaweza ishi na mke mnalala kwenye mkeka, hamna godoro mnashinda na njaa hata siku mbili, lakini penzi halipungui hata tone wanazidi kupendana kila saa kila siku.

Ninachojiuliza yale mapenzi yako wapi miaka hii?? Maana saiz ukiombwa pesa ya kununulia rotion ukamwambia huna kama alikuwa anakupigia simu na kukutumia sms basi utaona kasi imepungua au hapigi wala hatumi sms tena.

Wanawake wa zamani mme ikikosa wanakupa moyo wanakufariji kuwa usikate tamaa, ukikosa hela unamwonea huruma mke wako siyo kwamba atateseka la hasha bali atapata taabu ya kukubembeleza na kukutia moyo. Lakini leo ukikosa hela hata kama kuna uwezekano wa kuchuma tembele na kupika chakula utsubiri mpaka utakoma. Najiuliza ule upendo wa zamani uko wapi???

Mwanamke wa sasa anajua uwezo wetu wa kati na kuna malengo mnapambana kuyafikia lakini kila shughuri anataka mchangie mwende na kila shughuri anataka nguo mpya hata kama nyingine imepita juzi harudii nguo kwenye sherehe kana kwamba watu ndiyo walewale. Zamani mambo hayo hayakuwepo tatizo nini???

Wanawake wa siku hizi hata kama unamjua toka A mpaka Z. Maisha halisi ya kwao lakini ukiishi naye anataka onekane kama amezoea raha sana, kwamba kwao walikuwa wanaishi maisha mazuri sana. Kiujumla wanawake wetu wa siku hizi asilimia kubwa ni waigizaji wa maigizo tatizo ni nini?.

Najiuliza tu wenye kujua majibu wanisaidie maana simwone tena mke wa kushindia mlenda ili mjenge, simwoni mke wa kuuza vitumbua ili alishe familia, siku hizi hakuna mke wa kukuombea mwanaume unapondoka, simwone mwanamke wa kukunyanyua na kukufariji unapoyumba kiuchumi, kama wapo siwaoni mimi mwenzenu.

TENA KINA DADA KUWENI MAKINI AISEE UNAWEZA MJALI MTU HANA KITU UKAMSITIRI KAMA UNACHO UKAMSAIDIA AKIKARIBIA KUPATA AKAKUAMBIA "ASNTEBKWA UPENDO, KUNIJALI ILA HATUWEZI KUENDELEA"
 
Back
Top Bottom