Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 780
Maisha tuliyowakuta wanaishi babu zetu na bibi zetu yalikuwa unaweza ishi na mke mnalala kwenye mkeka, hamna godoro mnashinda na njaa hata siku mbili, lakini penzi halipungui hata tone wanazidi kupendana kila saa kila siku.
Ninachojiuliza yale mapenzi yako wapi miaka hii?? Maana saiz ukiombwa pesa ya kununulia rotion ukamwambia huna kama alikuwa anakupigia simu na kukutumia sms basi utaona kasi imepungua au hapigi wala hatumi sms tena.
Wanawake wa zamani mme ikikosa wanakupa moyo wanakufariji kuwa usikate tamaa, ukikosa hela unamwonea huruma mke wako siyo kwamba atateseka la hasha bali atapata taabu ya kukubembeleza na kukutia moyo. Lakini leo ukikosa hela hata kama kuna uwezekano wa kuchuma tembele na kupika chakula utsubiri mpaka utakoma. Najiuliza ule upendo wa zamani uko wapi???
Mwanamke wa sasa anajua uwezo wetu wa kati na kuna malengo mnapambana kuyafikia lakini kila shughuri anataka mchangie mwende na kila shughuri anataka nguo mpya hata kama nyingine imepita juzi harudii nguo kwenye sherehe kana kwamba watu ndiyo walewale. Zamani mambo hayo hayakuwepo tatizo nini???
Wanawake wa siku hizi hata kama unamjua toka A mpaka Z. Maisha halisi ya kwao lakini ukiishi naye anataka onekane kama amezoea raha sana, kwamba kwao walikuwa wanaishi maisha mazuri sana. Kiujumla wanawake wetu wa siku hizi asilimia kubwa ni waigizaji wa maigizo tatizo ni nini?.
Najiuliza tu wenye kujua majibu wanisaidie maana simwone tena mke wa kushindia mlenda ili mjenge, simwoni mke wa kuuza vitumbua ili alishe familia, siku hizi hakuna mke wa kukuombea mwanaume unapondoka, simwone mwanamke wa kukunyanyua na kukufariji unapoyumba kiuchumi, kama wapo siwaoni mimi mwenzenu.