Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Apr 18, 2018 #1 Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match. Karibuni
Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match. Karibuni
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Apr 18, 2018 #2 Wanakujaa
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,373 Apr 18, 2018 #3 Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Apr 18, 2018 #4 Mimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Apr 18, 2018 #5 Kupiga suna ujue, teh!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Apr 18, 2018 Thread starter #6 Nokia83 said: Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs Click to expand... Watoto wanaweza kujenga chuki na wewe kwa kumpiga mama yao
Nokia83 said: Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs Click to expand... Watoto wanaweza kujenga chuki na wewe kwa kumpiga mama yao
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Apr 18, 2018 Thread starter #7 Sijawahi kupigwa na wazazi wangu wala mume wangu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,436 Apr 18, 2018 #8 Sky Eclat said: Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match. Karibuni Click to expand... Faru John hah hah haaaa
Sky Eclat said: Unajisikiaje unapompiga mke wako, mama wa watoto wako na watoto wanakuona? Bila haya na usiku unaomba match. Karibuni Click to expand... Faru John hah hah haaaa
Oworuganda JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 2,188 Reaction score 2,795 Apr 18, 2018 #9 Anapokosea ukampa onyo akarudia tena kosa hilo hilo .... unategemea nini?
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Apr 18, 2018 #10 Mambo ya kizamani hayo.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,293 Apr 18, 2018 #11 Nokia83 said: Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs Click to expand... Na nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Nokia83 said: Ni sawa na kumchapa ng'ombe unayemkamua maziwa ukiona anakosea njia haina tatizo kbs Click to expand... Na nyie mkikosea mnapigwa na nani?
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,014 Apr 18, 2018 #12 Kumpiga mtoto wa kike ni tukio baya sana jamani
Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 4,050 Reaction score 12,966 Apr 18, 2018 #13 Ukiona mtu anakupiga ujue anakupenda na anaumia sana na ujinga unaoufanya. Hata watu wa dini husema mungu huwapa wapendwa wake majaribu kama ishara ya kuwarejesha wamjue na kumuabudu yeye.
Ukiona mtu anakupiga ujue anakupenda na anaumia sana na ujinga unaoufanya. Hata watu wa dini husema mungu huwapa wapendwa wake majaribu kama ishara ya kuwarejesha wamjue na kumuabudu yeye.
joely sandu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 1,962 Reaction score 1,819 Apr 18, 2018 #14 Wanakuwa wana matatz yao hao
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,847 Reaction score 7,014 Apr 18, 2018 #15 Ishu ya kupigana na mwanamke sio kabisa, naishia hapo .
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,847 Reaction score 7,014 Apr 18, 2018 #16 Mr Miller said: Mambo ya kizamani hayo. Click to expand... Kabisa mkuu, mie mke wangu sintokuja kumpiga hata siku moja.
Mr Miller said: Mambo ya kizamani hayo. Click to expand... Kabisa mkuu, mie mke wangu sintokuja kumpiga hata siku moja.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Apr 18, 2018 Thread starter #17 Unampiga mtu ambae hana nguvu za kukurudishia kipigo
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,536 Reaction score 6,562 Apr 18, 2018 #18 Tukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake 30% Ulevi wa mume 60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake 5% Mwanamke kuchepuka 5% sababu nyinginezo
Tukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake 30% Ulevi wa mume 60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake 5% Mwanamke kuchepuka 5% sababu nyinginezo
Mlima simba JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 3,847 Reaction score 7,014 Apr 18, 2018 #19 hazard cfc said: Mimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao Click to expand... Eti ni kweli Jolie Jolie
hazard cfc said: Mimi mwanamke simgusi kwa mkono wangu..nampiga na dushe tu mpaka arudi kwao Click to expand... Eti ni kweli Jolie Jolie
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Apr 18, 2018 Thread starter #20 Mjomba Fujo said: Tukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake 30% Ulevi wa mume 60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake 5% Mwanamke kuchepuka 5% sababu nyinginezo Click to expand... Kuna watu wamejaliwa mdomo bwana
Mjomba Fujo said: Tukiweka katika asilimia kuhusu kupigwa wake 30% Ulevi wa mume 60% Maneno yanayokera kutoka kwa wake 5% Mwanamke kuchepuka 5% sababu nyinginezo Click to expand... Kuna watu wamejaliwa mdomo bwana