Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 168
- 254
Yap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50kNauliza hivi kuna uwezekano wa mimi kurejesha deni la kwanza la 22.8K na kukopa 40K??.
Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga
Na sasa nipo kwenye 140kYap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50k
Mkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??Yap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50k
Mkuu nataka nifanye risk,nina hela hiyo ya kurejesha,sasa mimi nataka nirejeshe then waniongeze either 30k au 40k,nifanye kurejesha sio??
huwezi kukopa tala na branch kwa the same infomationMe tala, branch nimewakopa naomba mnipe app nyingine niwakope
umekopa mara ngapi....?Jamaa wazuri sana, mi tayari nimefikia 300,000/=
Aisre aliiilipa au???Kuna she alikopa 20k alaf akakaa 30minutes akailipa. Hapo hapo wakampeleka 80k
Alikopa na kulipa ndani ya dakika chache.Aisre aliiilipa au???
Ni toyota pssso new model.TALA ndiyo dubwana gani?
lipa kidogo kidogo haujapoteza kigezo ila utapunguziwa kiwango cha kukopa kutoka cha juu hadi cha chini...jitahidi ulipeMimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
Boss kwani wanatoa mkopo wa zaidi ya hapo ulipofikia?Jamaa wazuri sana, mi tayari nimefikia 300,000/=
Hiyo ni kweli, mi nipo TALA lakini nilijaribu kwa BRANCH ikashindikanahuwezi kukopa tala na branch kwa the same infomation