Wale wanaotafuta nyumba za kupanga Dar

Wale wanaotafuta nyumba za kupanga Dar

Dah!..

Mkuu wewe bandidu kama unavyoonekana kwenye picha hucheki na mtu!...

hahahahahahaha,ungempa hata 50000 huyo angechukua tu kwa huo mkwara..

Acha vijana wajiajir mkuu, huyu siyo dalali, anaganga njaa tu mjini watoto waende shule! Madalali wapo mkuu wamesajiliwa na wanalipa kodi. Nakumbuka bwana mmoja alinitafutia nyumba sehemu flani, baada ya biashara anadai chake, laki 9.5!!! nikamwambia kula laki 2 nakupa kwa ajili ya kuniunganisha na mwenye nyumba (hakuwahi kunipigia zaidi ya kubeep, hakuwahi kuchoma mafuta zaidi ya kubeep na kumfuata, hana ofisi zaidi ya kudandia kwa fundi viatu), akawa kama anakomaa nikamwambia utaikosa hata hiyo laki mbili chukua kabla sijabadili mawazo!
 
Dalali napokea order kwa wale wanao tafuta nyumba au vyumba kwa kupanga maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,kinondoni,magomeni,ubungo,mikocheni,Masani na mbezi beach. NiPM au text me 0752953860,Sema unataka nyumba ya namna gani na maeneo gani.

Kununua jee?
 
Mimi nahitaji chumba kimoja tu sambacho ni master mitaa ya kijitonyama au makumbusho. Ntapata??
 
Kununua pia like viwanja, Nyumba, magari n.k

Kaka dalali, waambie wenzako kuwa ile monopoly ya kulazimisha eti kodi ya mwaka mmoja ishapitwa na wakati! Miez sita sita kushuka chini ni bora zaidi. Kuna wenye nyumba watata sana, sasa ukilipa mwaka1 ni kifungo tosha! Halafu hata bei kaka dalali munaweka kubwa sana tofauti na ubora wa nyumba na location!
 
Kaka dalali, waambie wenzako kuwa ile monopoly ya kulazimisha eti kodi ya mwaka mmoja ishapitwa na wakati! Miez sita sita kushuka chini ni bora zaidi. Kuna wenye nyumba watata sana, sasa ukilipa mwaka1 ni kifungo tosha! Halafu hata bei kaka dalali munaweka kubwa sana tofauti na ubora wa nyumba na location!

Kodi/bei na muda wake vinapangwa na mwenye nyumba, mara chache inatokea dalali anaongeza cha juu kwenye Nyumba labda ukiniambia kwenye viwanja na vitu vingine ambavyo vya kununua si kupangisha ntakubaliana na wewe.
 
Mimi nahitaj house yenye room2 au 3 maxmum umeme na maji viwepo jiko na sebule pia parking ni muhimu sana

Note: naihitaji kuanzia mwez wa 6

Ipo Makongo Juu ila maji ni ya kununua na bei yake ni laki 4 na nusu kodi unaweza kulipa miezi 6 kama upo tayari nitafute hapa: 0787577755 au 0717577755.
 
Back
Top Bottom