umechaguliwa
umechaguliwa
ongera maana ake chuo kimekukubali kutokana na ufauru wako umekizi vigezo vyao walivyojiwekea kama chuo ivyo chuo kimedhibitisha nacte umechaguliwa hapoCongratulation!! Your are successfully
confirmed to join selected Programme below
in said Institution/College.
hii inamaanisha nn
ndugu yangu usikate tamaa lazima watatoa majina na we utakuwemo izo ni changamoto za hapa na pale ila alicho kupangia mungu akuna wa kubadilisha wish you the best v2dUdom wanazingua mpk leo hakuna batch 2
Congratulation!! Your are successfully
confirmed to join selected Programme below
in said Institution/College.
hii inamaanisha nn
anaekijua chuo cha tumain makumira mbeya cumpus anipe info jaman kipoje????£££
Ni degree ama
sijawahi angalia profile yangu asee coz najiamini lazima nipate tu chuo na mkopo 100% jana cjui nn kimenifanya nipitie profile yangu, asee nimekuta maandishi mekundu yanayosomeka NOT SELECTED asee ilikua kama nimepigwa gazi hivi nikaona machozi flani hivi afu chair yamoto kinoma aroo kuna dada alikua pembeni yangu hapo kumbe nae kaona ile NOT SELECTED akanambia kaka yangu pole sana lkn unaeza apply tena coz deadline bado mpaka 24 basi nikaweka corse nyingine japo zile nizipendazo tayali zimejaa na vile vyuo nivipendavyo tayali vimejaa asee usiombe kukosa chuo ni kisanga, naomba MUNGU anijalie nipate chuo na boom. Amina.

Wana jmvi naomba kuuliza umeandkiwa kwamba umekuwa selected hlf kwenye eligibility status umeandikiwa eligible kwenye vyuo vyote ulivyoomba......na kwenye remarks umeendikiwa meet requirements hii iko vip naomb msaada