wale wanaohitaji plugins za video au audio softwares SOMA HAPA

wale wanaohitaji plugins za video au audio softwares SOMA HAPA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
KAMA WEWE NI MTUMIAJI WA ADOBE,PINACLE,AVID,VEGAS,AFTER EFFECT,PHOTOSHOP ,FINAL CUT,CINEMA4, NA SOFTWARE ZINGINE KAMA HIZO AMBAZO ZINADEAL NA VIDEO (MOVIE MAKING..BASI HAPA Toolfarm.com :: The Video Plug-ins People - After Effects Plug-ins, CINEMA 4D Plug-ins, and Final Cut Pro Plug-ins UTAPATA KUJUA PLUGIN NYINGI SANA ZITAKAZOBORESHA KAZI YAKO..KUNA PLUGINI KIBAO ZIKIWA NA MAELEZO KWA CHINI JINSI ZINAVOFANYA KAZI. NENDA HAPO PALIPOANDIKWA STORE NA UCHAGUE UNATAK PLUGIN YA SOFTWARE GANI....KISHA ZITAFIKA ZOOTE..


UKISHAPATA PLUGINI NZURI KOPI HILO JINA LA HIYO PLUGIN KISHA INGIA HAPA http://kickass.to/ UTAONA SEHEMU YA KUSEARCH...PASTE HAPO HILO JINA LA PLUGIN ULYOPENDEZEWA NAYO NA UIDOWNLOAD....BUT NI LAZIMA UWE NA TORRENTS SOFTWARE KAMA VILE BITTORRENT n.k UTAWEZA KUDOWNLOAD.
 
ujumbe umefika mkuu, lakini nna swali.. nahitaji ku-download gta4 pc kupitia kickass torrents, sasa pale huwa wanaweka full game au ni setup ambayo ukisha-download uta-install?
 
ujumbe umefika mkuu, lakini nna swali.. nahitaji ku-download gta4 pc kupitia kickass torrents, sasa pale huwa wanaweka full game au ni setup ambayo ukisha-download uta-install?

utaletewa torrents zote zipo ambazo zina setup tu na zpo ambazo zimeshafunguliwa,jaribu ku click moja moja afu soma sehemu imeandikwa torrent files , kuna mahali pameandikwa hvo kama sijakosea
 
utaletewa torrents zote zipo ambazo zina setup tu na zpo ambazo zimeshafunguliwa,jaribu ku click moja moja afu soma sehemu imeandikwa torrent files , kuna mahali pameandikwa hvo kama sijakosea

.
Hiyo link wameipiga chini nn naona haifanyi kazi
.
Try to fix it kiongozi
 
Back
Top Bottom