Da kesho naenda school wale wadau wangu pole kwa kipindi ambacho ntakuwa sipo najua mtanimiss sana hila siku mojamoja nikiwa naingia kwenye mtandao ntakuwa nawatumia kama unapenda kujua jinsi ya kupata video kwenye mtandao nitumie mesage namimi ntakutumia email