Wale wanao penda video za vichekesho

Wale wanao penda video za vichekesho

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Kwa wala wanaopenda video xa vichekesho kila siku nakuwa nakutumia video moja kwenye what'sapp nicheki kwenye namba 0766455476
 
Sawa mi ntakuwa wa kwanza kwa nnavopenda kucheka!!!
 
Nashukuru sana kwa asanthe xenu wale wote ambao nimekuwa nikiwatumia video xa vichekesho
 
Kama nawe unaitaji usisite kunifuata whatsapp sina nia mbaya wewe kaka/ dada /mama pamoja na baba nia yangu ufurahi na xikuondolee sitres
 
Member wangu nashukuru kwa asanthe xenu japo siwexi kuwajua maan kule inakuja namba ningeomba asanthe mxitume uku ili tuweze kuwa tunafamiana
 
nashukuru kwa asanthe zenu wale wote ambao ni member wangu wa video xa vichekesho
 
nmecheka sana kijana....kama utakua na zile za kutabasamu pia naomba unitumie kwani nazihitaji sana kwa kipindi hiki cha nzi wengi ambao ni dalili ya mvua za masika zianzazo april.
 
Da kesho naenda school wale wadau wangu pole kwa kipindi ambacho ntakuwa sipo najua mtanimiss sana hila siku mojamoja nikiwa naingia kwenye mtandao ntakuwa nawatumia kama unapenda kujua jinsi ya kupata video kwenye mtandao nitumie mesage namimi ntakutumia email
 
Eti member wangu kuna wanajamii forums wanasema kuwa mi muongo situmi hizo video ni kweli au?
 
Member wangu wote nashukuru kwa asanthe zenu ntazidi kuwavunja mbavu kama kawaida
 
Back
Top Bottom