Wale walosoma Simanjiro sec school tukutane hapa

Dec 21, 2015
9
1
mliotoka hapo tukumbushane habar zakina ticha Ngalubutu,makene,gerald,kina khaima kina Tango mpishi soloka embu tukumbushane
 
nakumbuka siku jiko la shule lilivyo anguka alafu brother soloka ,alikuwa anakata kitungu alitoka speed na sime jiko lisimwangukie
 
Aisee... hii shule ipo jiran kabisaa na ninapokaa japo sio mkaz sana wa huku, matatizo yake ni yale yale tu ka shule zingine za kata japo ina bweni
 
Back
Top Bottom