Wale waliochaguliwa scholarship za mozambique

Jestkilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
2,999
Reaction score
3,961
Jamani hiv washajibu chochote juu ya scholarship za mozambique na pia jana mdogo angu anaangalia selection yake ya mozambique anakuta wamembadilishia na kumweka IFM yani sielewi imekaaje hii.msaada process nifanyeje
 
asome tanzania tu huyo kwani huko kunani mpaka akasome huko kwani hali ni ngumu huku msumbiji
 
Me nataka majibu status zikoje lin wanaitwa na mambo mengine n nin hayo ya ugum wa maisha tunajua tutafanyaje
 
Jamani hiv washajibu chochote juu ya scholarship za mozambique na pia jana mdogo angu anaangalia selection yake ya mozambique anakuta wamembadilishia na kumweka IFM yani sielewi imekaaje hii.msaada process nifanyeje

mie nimepata ! asubr
 
Jestkilla 2lia bna mi mwenyew nmechaguliwa huko na waliokwenda hko mwaka jana waliondoka mwez wa 1.....pung aza presha
 
Back
Top Bottom